fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,606
- 8,270
ni kweli inauma ila ongea nae na ukishindwa shirikisha,ndugu zake,viongozi wa dini mpaka upate suluhuUnakuwa na mahusiano na mtu kipato cha chini
umeamua kumpenda na kumvumilia jinsi hali yake yamaisha ilivyo mnavuka mabonde vichaka na milima kwa pamoja dharau kejeli na maneno ya hovyo kutoka kwa ndugu kisa uliyenae hohehae.
hata zile salamu kutoka kwa ndugu hakuna unaamua kuziba masikio ukiamini ipo siku mungu atafungua milango kwa huyo ulie nae shida inakuja mwanaume akisha jipata nyumban hapakaliki kutwa kiguu na njia na wanawake wengine mwisho wa siku anakuja kuoa mwanamke mwingine.
Je, mwanaume wa namna hii utamfanya nini kumshusha busha kumtafutia wahuni wafanye yao au utamwacha aiende ukiangalia kakupotezea muda?
Inauma kwakweli
😂😂 usiniombee dua baya basi. Maana naingiaga na viatu, akili nashika mkononiBado wew
Hamna mahali nimezungumzia sexYaan ulikua unapigwa mkuyege tu Ila no future experience ni km tetea unakamatwa unapigwa mkuyege alafu basi kesho utapigwa na mwingine
Soma coment yangu vyemaKwa hio ulihusisha Pesa
Kwa hio hauusishi mkuyege na mapenziHamna mahali nimezungumzia sex
Nimesoma tayariSoma coment yangu vyema
Mkuyenge ni niniKwa hio hauusishi mkuyege na mapenzi
🤣🤣🤣 si uliwaona ndugu zako ni chawa, wewe ulikuwa dekioUnakuwa na mahusiano na mtu kipato cha chini
umeamua kumpenda na kumvumilia jinsi hali yake yamaisha ilivyo mnavuka mabonde vichaka na milima kwa pamoja dharau kejeli na maneno ya hovyo kutoka kwa ndugu kisa uliyenae hohehae.
hata zile salamu kutoka kwa ndugu hakuna unaamua kuziba masikio ukiamini ipo siku mungu atafungua milango kwa huyo ulie nae shida inakuja mwanaume akisha jipata nyumban hapakaliki kutwa kiguu na njia na wanawake wengine mwisho wa siku anakuja kuoa mwanamke mwingine.
Je, mwanaume wa namna hii utamfanya nini kumshusha busha kumtafutia wahuni wafanye yao au utamwacha aiende ukiangalia kakupotezea muda?
Inauma kwakweli
Jojo, acha ukorofi! 😁Asa mbona hujaniambia siku zote
Kwamba hao vijana unataka wamfanyaje?ukiwa tayari niambie nna vijana hapa.
kuna mambo usimuachie ALLAH
Ila siku ingine mvumilie huku unafanya mambo yako... Ndoa sio kilele cha mafanikio
Sio dua ni mapitio ya kawaida we huon ulonae saiv sie uliekua na kipnd kile unasoma😂😂 usiniombee dua baya basi. Maana naingiaga na viatu, akili nashika mkononi
Co kutudanganya tu wanatuloga na chula wanatupa na vile ameimba zuchu apa juz katTusameheni hatujui tulitendalo ni mademu ndo wanatudanganya
Eee unaoukaliaga huku unalembuaMkuyenge ni nini
Haitakuuma sana kama mleta mada?Nikipotezewa muda si basi
Naweza kupata second life...kwa mtu mwingine