jumaaharuna
Member
- Jul 5, 2022
- 28
- 23
TanzaniaAkabidhiwe na nani
Kwann? Elezea kidogo๐๐๐ฌ๐ฆ๐ข ๐ฌ๐๐ฌ๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐ฐ๐๐ค๐๐๐ข๐๐ก๐ข๐ฐ๐ ๐๐๐ง๐๐๐ซ๐ ๐ฒ๐ ๐๐๐ง๐ณ๐๐ง๐ข๐ ๐ง๐๐ข๐ฆ๐๐ง๐ข ๐ค๐ฎ๐ง๐ ๐ญ๐ฎ๐ณ๐จ ๐ฒ๐ ๐๐ซ๐๐ฆ๐ฆ๐ฒ ๐ฐ๐๐ง๐๐ฐ๐๐ณ๐ ๐ฅ๐๐ญ๐ ๐ก๐๐ฐ๐ ๐ฃ๐๐ฆ๐๐[emoji11
Sikiliza hii Album yao!Kwann? Elezea kidogo
Unataka waende mjini kiki mzeeWanajua ila zero branding
oooh, okayโฆngoja nisikilize nitarudiSikiliza hii Album yao!
Mbona hawajulikani ? Hamna ubishi ila hawana branding nzuri na pia mziki wao haueleweki.Unataka waende mjini kiki mzee
oooh, okayโฆngoja nisikilize nitarudi
Hawajulikani kivipi?Mbona hawajulikani ? Hamna ubishi ila hawana branding nzuri na pia mziki wao haueleweki.
Jamaa wako mbele na muda sanaUzungu mwingi unawafanya kushindwa kulishika soko la ndani. They're talented!
Angalia dp yako ndo maana unahype content zao kweny miziki kwamba hawana mashabiki wengi na nyimbo zao hazijuilikani ila wanao mashabiki east Africa na Africa nzima mpaka ulaya..Hawajulikani kivipi?
Wako nyuma. Wana focus kupanda kilima wakati hawajajua ugumu wa kupanda kichuguuJamaa wako mbele na muda sana
Hawajawahi kufunga ndoa tambua hilo ...Na wanaishi kwa kutemeana Nahreao haweza kumuacha yule demu maana anajua anguko lake kila kitu wameshare 50/50Mm hawa jamaa nawakubali sana ni wasanii wa kupigwa mfano wamedumu kwenye ndoa na hawana skendo oia wana ngoma za kibishi sana .....sikiliza .....manzese..bonge la ngoma
๐คฃ๐คฃ๐คฃWako local sana yaaniWako nyuma. Wana focus kupanda kilima wakati hawajajua ugumu wa kupanda kichuguu