Inatosha.

Nebuchadinezzer

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,403
Reaction score
2,550
Wahenga walisema "mpende akupendaye, asiyekupenda achana nae" hivyo mimi ni nani hata nisitii na kufuata hekima za mababu zetu Wa kale?

Nimeandika nyuzi kama tatu hivi, nikiwa na ombi la kupata mrembo ambaye kwa badae atakuwa Mrs. wangu, sijapiemuiwa hapa na dada yyte yule. Sasa inatosha

Nimejaribu kushusha vigezo mpaka kufikia hatua ya kuonekana natania lakini nimetoka kapa. Sasa nasema inatosha.

Wadada wa JF wanafiki sana...kila siku mnaandika nyuzi za kuomba mpatiwe Mme bora. Leo najitokeza kuomba kura mnaniyima. Ooh mara Nebu unavigezo vikubwa sijui unabagua dini,. Sasa nilivitoa vigezo vyote mlivyovilalamikia mbona hamjanipiemu sasa? Huo ni unafiki mkumbwa. Nasema inatosha.

Nyie si mpaka muone najimwambafy kama Kiduku Lilo ndo mjue kwamba na uwezo wa kuwahudumia? Anyway nshasema inatosha...nitampata zaidi yenu. Na ukiona uolewi hujue hiyo ni laana ya kukataa waoaji kama sisi.

Sitaki kuongeza wiki moja wala siku tatu kama serikali ilivyofanya kwa mafisadi. Nachoweza kusema tu kwa sasa inatosha.



Mke mwema anatoka kwa Bwana, hatoki JF.

Asanteni.
 
Dahhhh....!!
Kwanza nikupe pole kwa changamoto unayo pitia.
Pili nakushauri tu kwamba, do not take Jf so serious.
Na mwisho nikukisowe kwa uandishi wako wa kibabe, wenye kupoteza contents nzima ya kile unacho kilenga hasa.
Kumbuka tu hawa viumbe ili uwanase inahitaji akili na sio nguvu.
Mwisho kabisa niseme tu kwamba huu mchezo hauhitaji hasira, and all the best.
 
Nimekusoma mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…