englibertm JF-Expert Member Joined May 1, 2009 Posts 9,252 Reaction score 6,211 Dec 20, 2013 #1 TANESCO wakiwa kazini. No uniform. No boots. No gloves. No helmets. Wanachonga nyaya kwa kisu cha jikoni kama muwa.
TANESCO wakiwa kazini. No uniform. No boots. No gloves. No helmets. Wanachonga nyaya kwa kisu cha jikoni kama muwa.
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,675 Dec 20, 2013 #2 Hawa hawawezi kufa kwa umeme maana huo umeme unajua mafundi wake so hauwadhuru ila kama sio fundi unakumaliza
Hawa hawawezi kufa kwa umeme maana huo umeme unajua mafundi wake so hauwadhuru ila kama sio fundi unakumaliza
Chujio JF-Expert Member Joined Jun 17, 2013 Posts 1,461 Reaction score 2,425 Dec 20, 2013 #3 utafiti said: Hawa hawawezi kufa kwa umeme maana huo umeme unajua mafundi wake so hauwadhuru ila kama sio fundi unakumaliza Click to expand... Hahahahaaa! Mdau umeniacha hoi!
utafiti said: Hawa hawawezi kufa kwa umeme maana huo umeme unajua mafundi wake so hauwadhuru ila kama sio fundi unakumaliza Click to expand... Hahahahaaa! Mdau umeniacha hoi!