Forker 50 ni ndege ambayo majuzi imechorwa twiga ubavuni na kupakwa rangi zingine zinazoendana na atcl.
imetrend sanaa mitandaoni hasa baada ya kupakwa rangi kwa milion 7 tu badala ya milion 300, kwa kweli pesa zilizo okolewa ni nyingi, ila kwa sisi tunaofikiria mpaka ng'ambo ya mto je why pesa nyingi kiasi icho ziokolewe? hao wapigaji mwanzo hawakufikiria? hawakuogopa?
kwa sisi ambao tumekua wapenzi wa shirika ilo sasa tushike lipi? maana tunawasikia na kuwasoma wadau ambao wanatusimulia ilivyo hatari kupaka rangi juu ya rangi kwenye ndege, mbaya zaidi hata ukigoogle ni unaletewa picha kama ya ile ndege ya "esiopia", inafikirisha, hatujui tushike lipi?
shirika miliki la hii foka 50 tafadhali embu tuoni ufafanuzi basi, vinginevyo hakuna mwenye akili timamu atakae ipanda, haujipendi au?
wasiwasi ni akili.
Ha haa. Mkuu hii ilikuwa ndege ya kubeba viongozi. Configuration yake haikuhitaji viti vingi. Sasa imekuwa ya abiria ndio maana wamebadili configuration kuongeza viti.Wameongeza idadi ya viti. Huo ndio uoga wangu. Kwani walioweka viti 28 ni wajinga hadi nyie muongeze kufikia viti 40?
Boeing 737 Max Forker 50
Sent using Jamii Forums mobile app
yaani ilimradi kumfurahisha tu jiwe, sasa viti 12 ni karibu kilo 60 hapo za abiria zimeongezwa, sasa jiulize ndege iongezewe kilo 600 zingine ambazo sio hesabu zake.Wameongeza idadi ya viti. Huo ndio uoga wangu. Kwani walioweka viti 28 ni wajinga hadi nyie muongeze kufikia viti 40?
Boeing 737 Max Forker 50
Sent using Jamii Forums mobile app
Erooo Uleta masarauisije ikawa rangi za nyumba hizo - emerson's ndoo sh 18,000.
Kabla ya kugeuzwa kua ndege ya abiria kibiashara ilikua inafanya kazi gani?Wameongeza idadi ya viti. Huo ndio uoga wangu. Kwani walioweka viti 28 ni wajinga hadi nyie muongeze kufikia viti 40?
Boeing 737 Max Forker 50
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuweke ushahidi kua huo siyo uzito wakeyaani ilimradi kumfurahisha tu jiwe, sasa viti 12 ni karibu kilo 60 hapo za abiria zimeongezwa, sasa jiulize ndege iongezewe kilo 600 zingine ambazo sio hesabu zake.
Kwani mkuu ndege ilipakwa rangi au ilichorwa twiga na bendera. Ni vp unashindwa ata kusoma habari ukaielewa unaishia kuwachosha ti watu.Forker 50 ni ndege ambayo majuzi imechorwa twiga ubavuni na kupakwa rangi zingine zinazoendana na atcl.
imetrend sanaa mitandaoni hasa baada ya kupakwa rangi kwa milion 7 tu badala ya milion 300, kwa kweli pesa zilizo okolewa ni nyingi, ila kwa sisi tunaofikiria mpaka ng'ambo ya mto je why pesa nyingi kiasi icho ziokolewe? hao wapigaji mwanzo hawakufikiria? hawakuogopa?
kwa sisi ambao tumekua wapenzi wa shirika ilo sasa tushike lipi? maana tunawasikia na kuwasoma wadau ambao wanatusimulia ilivyo hatari kupaka rangi juu ya rangi kwenye ndege, mbaya zaidi hata ukigoogle ni unaletewa picha kama ya ile ndege ya "esiopia", inafikirisha, hatujui tushike lipi?
shirika miliki la hii foka 50 tafadhali embu tuoni ufafanuzi basi, vinginevyo hakuna mwenye akili timamu atakae ipanda, haujipendi au?
wasiwasi ni akili.
Ndege za viongozi huwa zipo kama ofisi..zinakua zina space kubwa..kilichofanyika ni kuondoa huo mfumo wa ofisi na kurudisha kwenye hali ya kawaida. hiyo ndege inaweza beba hadi watu 60.Wameongeza idadi ya viti. Huo ndio uoga wangu. Kwani walioweka viti 28 ni wajinga hadi nyie muongeze kufikia viti 40?
Boeing 737 Max Forker 50
Sent using Jamii Forums mobile app
Kilo 60 tu? Ina maana kila abiria ana kilo 5 ?yaani ilimradi kumfurahisha tu jiwe, sasa viti 12 ni karibu kilo 60 hapo za abiria zimeongezwa, sasa jiulize ndege iongezewe kilo 600 zingine ambazo sio hesabu zake.
Akili bure kabisa. Yaani wewe watu wanawaza vitu vya maana wewe unawaza ujinga na uzezetayaani ilimradi kumfurahisha tu jiwe, sasa viti 12 ni karibu kilo 60 hapo za abiria zimeongezwa, sasa jiulize ndege iongezewe kilo 600 zingine ambazo sio hesabu zake.
tangu uzaliwe umewai kupanda ndege?Ndo maana huwa naishia kuwatukana hovyo watu kama hawa yaan wanafikiria negativity tuuuuu, kulaumu tuuuuuuu, ujuaji tuuuuuuj akili kichwani sawa na za kondoo
Sent using Jamii Forums mobile app