umenikumbusha MO!
Kwa taarifa Mohamed Amin 'MO' ndye mwandishi pekee wa habari alyetoa ukweli kuhusu njaa ilvyokuwa inanaua watu Ethiopia, Dikteta Mengistu alizuia kabisa waandishi kuingia Ethiopia. 'MO' Mkenya ALIMLAGHAI hadi kumlanisha na kuingia Ethiopia akapiga picha maarufu ambayo Tai (vulture) alikuwa anaamsogelea mtoto asiyejiweza kwa njaa ili amnyofoe nyama. Picha hiyo iliwaliza watu dunia nzima. Ndipo MJ - Michael Jackson, Lionel Richie na wanamziki wengine wakaimba ule wimbo maarufu wa USA FOR AFRICA - WE ARE THE WORLD