Unaulizwa kifaa bei gani hujibu, unaambiwa vifaa vimetolewa msaada labda utaomba thread ifutwe sasa.
Mleta mada, sema wewe bei ya hivyo vifaa ni sh ngapi? Halafu acha kuongopa. Vifaa hivyo havikununuliwa na tanapa, isipokuwa taasisi ya kuhifadhi tembo inayoongozwa na dk. Kikoti. Majungu yako kwa TANAPA hayana ukweli wowote. Tafuta jingine. Hili umechemka mbaya.
Kwa hili hata mimi mwana ukawa nakupinga. Vile vifaa vinafungwa kwa tembo mmoja katika kila familia ya tembo, usidhani tembo wanaishi kama nyumbu! Pale utakuta kuna hadi binamu na wakwe.
Hivi mtoa mada upo darasa la ngapi na una umri gani maana ni vigumu kuelewa kama mada hii imetolewa na mtoto au mtu mzima !
Kama huwezi hata kuandika kitu kinachoeleweka basi ndo maana mnaibiwa sana !!
walisema tembo viongozi wa makundi 30 ya Ruaha ndiyo watafungwa.
" What we've got here is failure to communicate. Some men you just can't reach. So you get what we had here last week, which is the way he wants it. Well, he gets it. I don't like it any more than you men."kwani ruaha tu ndio kuna tembo? Ina mana wamekosa alternative hadi wafkirie kufunga mnyama kifaa, kwani majangili watashindwa kufungua hcho kifaa kama wanaweza kuwaua wanyama?
USIWE NA IQ NDOGO HIVYO
Mod ondoeni uzi huu wa uongo. Hakuna kifaa kilichonunuliwa na Tanapa. Huu ni msaada tu wa taasisi iliyo kwenye mapambano ya kuwalinda tembo. Uzi wa aina hii uliojaa uongo unashusha hadi ya JF.
hujaelewa thread yangu hii ndio hudhihirisha iq za wabongo ni ndogo ukiwemo ww
Unaulizwa kifaa bei gani hujibu, unaambiwa vifaa vimetolewa msaada labda utaomba thread ifutwe sasa.