Szczepan Guevara Jr
Member
- May 28, 2013
- 91
- 17
mkuu mbona sasa umewapre-empty hawa mahabusu??
Ulipaswa upige iyo simu kama kweli ni ya mwandishi wa habari kisha uone kama ni kweli basi angekwenda kuwahoji kunanini.
Sion kama hapa tutapata solution as wengine wameshajua hili hivyo watawazidi kete tu.
Jamani tuwaunge mkono mahabusu popote tulipo kwa kujiachia uchi walau kwa muda!!!!!
kwani kuvua nguo cha ajabu nini? Mbona huku mitaani mchana kweupe tunakutana na akina dada tena wasomi wamevua nguo wako uchi na hakuna tatizo lolote. Kwani ukivaa nguo ambayohaijai kikombe cha chai na imebana mwili mzima kama kondomu inavyobana uume ni tofauti na hao unaozungumzia
Nikusabahi mpendwa Sabah al-heri, Samahani kumsikitika mahabusu kwangu naona ni la ajabu! kwani hao mahabusu wako hatiani na kati yao wapo macriminals,Vibaka, majambazi na wahalifu kadhaa.... wanapelekwa kusomewa mashitaka yao na kuhukumiwa kwa sababu walitenda makosa humu uariani(yaani walivamia,walivunja sheria na kuhatarisha maisha yetu uraiani) hivyo siyo wa kuwahurumia hadi watakapo Prove hukumu sawia.inasikitisha jaman,wanateseka hao mahabusu
Naishi karibu na mahakama ya sekei Arusha. Mahabusu wanalia muda huu wanalalamika hawatendewi haki na kuna anaelia analawitiwa while mke kamuacha home
wewe sio wote wanaoenda huko wana hatia,wengine wamesingiziwaa.Nausiombee ndugu yangu kwenda huko si mahali salama, ila ujue nawe ni mfungwa mtarajiwaNikusabahi mpendwa Sabah al-heri, Samahani kumsikitika mahabusu kwangu naona ni la ajabu! kwani hao mahabusu wako hatiani na kati yao wapo macriminals,Vibaka, majambazi na wahalifu kadhaa.... wanapelekwa kusomewa mashitaka yao na kuhukumiwa kwa sababu walitenda makosa humu uariani(yaani walivamia,walivunja sheria na kuhatarisha maisha yetu uraiani) hivyo siyo wa kuwahurumia hadi watakapo Prove hukumu sawia.
Good luck & mchana mwema.
Mpendwa Umesha hav lunch; Au bado tumbo tupu na kichwa bhangi? ujio wangu upo wazi kuwa watabaki mahabusu kutokkana na kanuni na sheria za kiserikali ambazo sote tunazifuata na kutii amri.... au wewe una sheria yako pekee?wewe sio wote wanaoenda huko wana hatia,wengine wamesingiziwaa.Nausiombee ndugu yangu kwenda huko si mahali salama, ila ujue nawe ni mfungwa mtarajiwa
wenyewe askari ndio wanawalawitiHao askari wanaowalinda wakiwa mahabusu wanaruhusu wafungwa walawitiwe?
Mpendwa Umesha hav
lunch; Au bado tumbo tupu na kichwa bhangi? ujio wangu upo wazi kuwa
watabaki mahabusu kutokkana na kanuni na sheria za kiserikali ambazo
sote tunazifuata na kutii amri.... au wewe una sheria yako pekee?
Masaala ya kusingiziwa na kuonewa hayo yana mantiki zake" sheria
haimlindi mjinga" au kutofahamu sheria....'
Wewe hapo ulipo unalindwa na sheria ndo maana upo katika amani.
"umekurupuka !! soma vizuri kabla hujaanza kupayuka" okay jioni njema
kawko, usinichukulie .vumiliya na upoze jazba. good luck[/QUOT kama hajakuelewa ni kichwa ngumu.