inasikitisha sana hebu soma huu ujumbe kutika kwa mahabusu

May 28, 2013
91
17
HUU UJUMBE NI WA KWELI WAKATI NAELEKEA KAZINI NIMEPISHANA NA BASI G LA MAHABUSU LIKIWAPELEKA KISUTU MUDA WA SAA MOJA ASUBUHI NIMERUSHIWA BARUA HII NA MAHABUSU KUTOKA KWENYE GARI

Yoyote atakayeokota kibarua hiki tunaomba msaada wako kama unasimu uwafahamishe waandishi wa habri TAREHE 17.6.2013 MAHABUSU WA GEREZA LA KEKO tunawaomba muwapigie waandishi wa habari waje MAHAKAMANI leo siku ya JUMATATU kutakuwa na mgomo wa mahabusu KUJIACHA UCHI wakati wanakwenda MAHAKAMANI KWA WAHESHIMIWA.

NAMABA ZA MWANDISHI WA NIPASHE
0717055551

Wajitahidi wafike mahakamani kabla ya saa 3.30 asubuhi wawe wamefika MAHAKAMA YA KISUTU wawe karibu na MAHABUSU YA WANAWAKE ndipo tutakapopita kwenda kwa muheshimiwa SUNDI FIMBO pale kwenye ganzi zinapoanzia ndipo tukio litakapoanzia .
YOYOTE ATAKAYESOMA WATAARIFU WAANDISHI WA HABARI LEO LEO

Huo ndio ujumbe niliorushiwa kutoka kwa mahabusu waliokuwepo kwenye basi wakipelekwa kisutu na BARUA NINAYAO HAPA.
 
Duh, uonevu umefika pahala pake!!!!!!!!! Kweli nchi hii haki imepotoweka, tutawaunga mkono kimya kimya na hata kwa sauti kuu za baragumu
 
mkuu mbona sasa umewapre-empty hawa mahabusu??
ulipaswa upige iyo simu kama kweli ni ya mwandishi wa habari kisha uone kama ni kweli basi angekwenda kuwahoji kunanini.
sion kama hapa tutapata solution as wengine wameshajua hili hivyo watawazidi kete tu.
 
mkuu mbona sasa umewapre-empty hawa mahabusu??
Ulipaswa upige iyo simu kama kweli ni ya mwandishi wa habari kisha uone kama ni kweli basi angekwenda kuwahoji kunanini.
Sion kama hapa tutapata solution as wengine wameshajua hili hivyo watawazidi kete tu.

kwani kuvua nguo cha ajabu nini? Mbona huku mitaani mchana kweupe tunakutana na akina dada tena wasomi wamevua nguo wako uchi na hakuna tatizo lolote. Kwani ukivaa nguo ambayohaijai kikombe cha chai na imebana mwili mzima kama kondomu inavyobana uume ni tofauti na hao unaozungumzia
 
whats the logic behind your urgument??
 
Naishi karibu na mahakama ya sekei Arusha. Mahabusu wanalia muda huu wanalalamika hawatendewi haki na kuna anaelia analawitiwa while mke kamuacha home
 
Natoa wito kwa serikali ya kikwete iwasikilize hawa watu na matatizo yao yafanyiwe kazi mara moja.
 
jamani gerezani sio mahali pa zuri wengi wao wanafanyiwa vitendo vya kinyama sana huko magerezani..watembeleeni wafungwa na kuwapa moyo kwani sio wote waliofungwa wana makosa
 
inasikitisha jaman,wanateseka hao mahabusu
Nikusabahi mpendwa Sabah al-heri, Samahani kumsikitika mahabusu kwangu naona ni la ajabu! kwani hao mahabusu wako hatiani na kati yao wapo macriminals,Vibaka, majambazi na wahalifu kadhaa.... wanapelekwa kusomewa mashitaka yao na kuhukumiwa kwa sababu walitenda makosa humu uariani(yaani walivamia,walivunja sheria na kuhatarisha maisha yetu uraiani) hivyo siyo wa kuwahurumia hadi watakapo Prove hukumu sawia.
Good luck & mchana mwema.
 
Naishi karibu na mahakama ya sekei Arusha. Mahabusu wanalia muda huu wanalalamika hawatendewi haki na kuna anaelia analawitiwa while mke kamuacha home

Hao askari wanaowalinda wakiwa mahabusu wanaruhusu wafungwa walawitiwe?
 
Nikusabahi mpendwa Sabah al-heri, Samahani kumsikitika mahabusu kwangu naona ni la ajabu! kwani hao mahabusu wako hatiani na kati yao wapo macriminals,Vibaka, majambazi na wahalifu kadhaa.... wanapelekwa kusomewa mashitaka yao na kuhukumiwa kwa sababu walitenda makosa humu uariani(yaani walivamia,walivunja sheria na kuhatarisha maisha yetu uraiani) hivyo siyo wa kuwahurumia hadi watakapo Prove hukumu sawia.
Good luck & mchana mwema.
wewe sio wote wanaoenda huko wana hatia,wengine wamesingiziwaa.Nausiombee ndugu yangu kwenda huko si mahali salama, ila ujue nawe ni mfungwa mtarajiwa
 
wewe sio wote wanaoenda huko wana hatia,wengine wamesingiziwaa.Nausiombee ndugu yangu kwenda huko si mahali salama, ila ujue nawe ni mfungwa mtarajiwa
Mpendwa Umesha hav lunch; Au bado tumbo tupu na kichwa bhangi? ujio wangu upo wazi kuwa watabaki mahabusu kutokkana na kanuni na sheria za kiserikali ambazo sote tunazifuata na kutii amri.... au wewe una sheria yako pekee?
Masaala ya kusingiziwa na kuonewa hayo yana mantiki zake" sheria haimlindi mjinga" au kutofahamu sheria....'
Wewe hapo ulipo unalindwa na sheria ndo maana upo katika amani. "umekurupuka !! soma vizuri kabla hujaanza kupayuka" okay jioni njema kawko, usinichukulie .vumiliya na upoze jazba. good luck
 
Mie sijaona point ya kutufanya tuhangaikie na tushtuke,kilichonishtua ni vip hao mahabusu wamepata peni mahabusu!
 
Kwa hiyo waandishi ndo wakawadhamini mahakamani au kama kuna uonevu zipo njia nyingi za kufikisha ujumbe wao..
 
..... Mbona hawajaeleza nini kinachowasibu na nani anasababisha .. kama wanataka kukaa uchi wakae uchi na wakifika gerezani wagome kula na baadaye wagome kulala...
 
Mpendwa Umesha hav
lunch; Au bado tumbo tupu na kichwa bhangi? ujio wangu upo wazi kuwa
watabaki mahabusu kutokkana na kanuni na sheria za kiserikali ambazo
sote tunazifuata na kutii amri.... au wewe una sheria yako pekee?
Masaala ya kusingiziwa na kuonewa hayo yana mantiki zake" sheria
haimlindi mjinga" au kutofahamu sheria....'
Wewe hapo ulipo unalindwa na sheria ndo maana upo katika amani.
"umekurupuka !! soma vizuri kabla hujaanza kupayuka" okay jioni njema
kawko, usinichukulie .vumiliya na upoze jazba. good luck[/QUOT kama hajakuelewa ni kichwa ngumu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom