Tazama haya: madenge ya KQ yangekuwa ya ATCL kama siyo ubinafsi wa watendaji wetu,- KLM waliisihi serikali ya TZ wawapunguzie ma boeing yao yaliyokuwa active ili wawasaidie kwenye southern circuit, serikali ikasema haiwezi kupokea bila kupitia kwa agent, KLM wakayapeleka Kenya, sasa KQ inatesa.