ktk hali ambayo imenitia uoga leo asubuhi kumekutwa kitoto cha miaka kama miwili kikiwa kimeuawa na inasadikika muuaji alimfanyia ubakaji kabla ajamuua kutokana na sehemu ya kike na haja kubwa kuaribika sana inatisha. eneo la buguruni mnyamani relini
inauma sana binadamu wa namna hii anauwa afu anchwe hai. ni mda sasa wa kuanza kutumia sheria ya kuuwa kwa sindano ya sumu kama marekani, inauma watu kama hawa kuachwa hai.