Inasikitisha kitoto kama cha miaka 2 chakutwa kichakani kikiwa mfu

KALYOVATIPI

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
1,414
197
ktk hali ambayo imenitia uoga leo asubuhi kumekutwa kitoto cha miaka kama miwili kikiwa kimeuawa na inasadikika muuaji alimfanyia ubakaji kabla ajamuua kutokana na sehemu ya kike na haja kubwa kuaribika sana inatisha. eneo la buguruni mnyamani relini
 
Hili pamoja na mengine yanatakiwa kuhojiwa wanaharakati wanaotaka kuhararishwa kwa abortions
 
inauma sana binadamu wa namna hii anauwa afu anchwe hai. ni mda sasa wa kuanza kutumia sheria ya kuuwa kwa sindano ya sumu kama marekani, inauma watu kama hawa kuachwa hai.
 
Hili pamoja na mengine yanatakiwa kuhojiwa wanaharakati wanaotaka kuhararishwa kwa abortions
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom