Mkuu weka ushabiki na upenzi pembeni,simba inajihujumu yenyewe.Kinachowafanya mshinde ni kubebwa. Nakupa mifano mitatu.Msimu uliopita Ngoma alimpiga kichwa Kessy,Tambwe akamzalilisha Murshid kwa kosa kama la Nyosi hakuna hatua zozote mpaka ligi ikaisha. Suala la Kessy limezungushwa mpaka leo wametaka risiti wamepewa ila kwa sababu inaeleweka Yanga wamekosea kusajili mchezaji mwenye mkataba eti timu zikutane kutafuta suluhisho. Hamna lever playing field.
Bila kuitaja yanga unahisi utakufa et? Karibu milango iko wazi yanini kuipenda timu inayokupa pressure? Njoo yanga upate rahaKinachowafanya mshinde ni kubebwa. Nakupa mifano mitatu.Msimu uliopita Ngoma alimpiga kichwa Kessy,Tambwe akamzalilisha Murshid kwa kosa kama la Nyosi hakuna hatua zozote mpaka ligi ikaisha. Suala la Kessy limezungushwa mpaka leo wametaka risiti wamepewa ila kwa sababu inaeleweka Yanga wamekosea kusajili mchezaji mwenye mkataba eti timu zikutane kutafuta suluhisho. Hamna lever playing field.
Toka enzi za utoto wangu nilikuwa naipenda Yanga.Kwani ulishaacha kuipenda?
Simba ni kama ukawa kelele nyingi vitendo zero
Naona umeshindwa kujibu hoja zangu kwani ni ukweli.Umeamua kuwasema mbuni kutumbukiza kichwa kwenye mchanga huku mgongo upo wazi. Jibu hoja wacha longolongo.Mkuu weka ushabiki na upenzi pembeni,simba inajihujumu yenyewe.
Achaneni na yanga mtapotea kwenye gemu na kujikuta wasindikizaji
Mkuu mbona unatokwa povu? Mchezo huu hautaki hasiraNaona umeshindwa kujibu hoja zangu kwani ni ukweli.Umeamua kuwasema mbuni kutumbukiza kichwa kwenye mchanga huku mgongo upo wazi. Jibu hoja wacha longolongo.
Ni kama ccm maana ndiyo chama tawala na ukawa ni vyama tawaliwa(twaliwa)
Kwa hiyo yanga wanafanana na ccm
Tena pove hawa mpaka kidevu kimelowaMkuu mbona unatokwa povu? Mchezo huu hautaki hasira
Umelowa wewe mwenye mdomo wa chini. Matusi hapa mpaka liamba.Andika kiustaarabu utajibiwa. Ukianza matusi utajibiwa pia.Tena pove hawa mpaka kidevu kimelowa
Ni kama ccm maana ndiyo chama tawala na ukawa ni vyama tawaliwa(twaliwa)
Nani alikwambia Mbowe ni ukawa? Yule ni mpiga deal tu
Kuna wengine ni wanaYanga wenzako lakini ni ukawa!! Kama Mh. Freeman Mbowe