Inapotajwa Yanga kwa simba linakiwa tatizo kubwa.

nguriti

Senior Member
Nov 16, 2016
121
137
Simba ni timu nzuri sana lakn inabahati mbaya ya kukosa uongozi bora.

Ukiangalia mwaka Jana ilikuwa nanafasi kubwa sana ya kutwaa ubingwa lkn maamuzi ya kijinga wa uongozi yakaifelisha timu.

Mwaka huu pia simba imeanza vizuri sana lkn mwisho mwaka raundi ya kwanza ikaanza kuharibu.

Sasa tena imejitengenezea kamgogoro kasiko rasmi na mchezaji wake Jonas Mkude!

Kushindwa kwa mwaka Jana sababisho ni Yanga, kwa wale wanaokumbuka simba waligoma kuendelea na michezo mpaka Yanga wamalize vipolo vyao.

Msimu huu tena tatizo ni Yanga ..Mkude kusema atakwenda Yanga kama hawatampa malipo mazuri imekuwa shida tena.

Nimegundua migogoro na kushindwa kwa simba inasababishwa na hofu waliyonayo simba dhidi ya yanga .

Kwa hali hii Yanga watakuwa mabingwa mpaka mjitambue.
 
Kinachowafanya mshinde ni kubebwa. Nakupa mifano mitatu.Msimu uliopita Ngoma alimpiga kichwa Kessy,Tambwe akamzalilisha Murshid kwa kosa kama la Nyosi hakuna hatua zozote mpaka ligi ikaisha. Suala la Kessy limezungushwa mpaka leo wametaka risiti wamepewa ila kwa sababu inaeleweka Yanga wamekosea kusajili mchezaji mwenye mkataba eti timu zikutane kutafuta suluhisho. Hamna lever playing field.
 
Mkuu weka ushabiki na upenzi pembeni,simba inajihujumu yenyewe.

Achaneni na yanga mtapotea kwenye gemu na kujikuta wasindikizaji
 
Bila kuitaja yanga unahisi utakufa et? Karibu milango iko wazi yanini kuipenda timu inayokupa pressure? Njoo yanga upate raha
 
Kwani ulishaacha kuipenda?
Toka enzi za utoto wangu nilikuwa naipenda Yanga.
Ikifungwa nilikuwa sili chakula.
Lakini baadae nikastaafu ushabiki huo ili kuepukana maradhi ya moyo maana kila siku Yanga chali hasa na Mikia FC.
Kwa hiyo football huwa mapenda kuangalia mechi sio shabiki wa timu kiviiiile.
 
Mkuu weka ushabiki na upenzi pembeni,simba inajihujumu yenyewe.

Achaneni na yanga mtapotea kwenye gemu na kujikuta wasindikizaji
Naona umeshindwa kujibu hoja zangu kwani ni ukweli.Umeamua kuwasema mbuni kutumbukiza kichwa kwenye mchanga huku mgongo upo wazi. Jibu hoja wacha longolongo.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom