Zifuatazo zinaweza zikawa sababu;
1. Gpa ndogo,ufaulu mdogo kwenye vyeti vyako vingine kama vya olevel-a level
2. Uandish mbovu wa barua na cv, vitu kama grammar errors,cv unakuta haipo updated n.k,ni vitu vidogo sana lakini inaonyesha jinsi gani usivyo smart
3. Kutokufuata maelekezo ya jinsi ya kuaply,kwa mfano unakuta umeambiwa tuma cv tu,mtu anatuma hadi vyeti, sa nyingine unakuta ujaandika nafasi ya kazi unayoomba(kama unaaply utumishi),kazi ukiyoomba ujakidhi vigezo n.k
4.Roho ya kukataliwa,hii iko kiimani zaidi ila unaweza kuwa na mchango mkubwa kuliko hizo hapo juu nlizozitaja,jaribu kutafuta watumishi wa Mungu kabla hujaaply(NB kama unamtegemea Mungu lazima uwe tayari kumtii/ kuacha dhambi)