Mbona hujasema maumbile, IQ na dini ya huyo unayetaka akuzalie? huoni hivyo vyote ni muhimu ili kupata your dreamy baby. It is a great arrangement kwa mdada ambaye hana mpango wa kuolewa; ila huoni kama unamkosea mkeo hata kama hana uwezo wa kuzaa (nina assume hawezi kuzaa).
Pia nafikiri kwa aliyekuwa interested inabidi muandikishiane terms zote ili baadaye msigeukane, mara ooh nataka mtoto wangu etc.
kama si wako ni bora ukajua kabla ya kuolewa.................... itakusaidia nini ukishaolewa ukajua kumbe mwana si wako??????????????/ tafakari...................... chukua hatua..............Mmm!! Icjekuwa chelewachelewa utakuta mwana c wako
Daah jaman nisadieni hvi utajuaje km mtu anakupenda
Hamna ila unajua nn best huwa hamkawii kubadili mind zenu
Daah jaman nisadieni hvi utajuaje km mtu anakupenda
One luv sana,
Bt c unajua huwa wakiona vipya wanasahau vya zamani