Inakuhusu bwana arusi mtarajiwa

bora hata wewe umeongea cha maana! kwa hiyo tukija kuoa kwa huyu mtoa mada tujiandae kuwatoa tandale tuwapeleke oysterbay kisa tu tunaoa kwao? eti ada, mara mahari,mara baba mkwe, mara mdogo wa mke kama huyu mtoa mada naye atataka ada ya shule ya ufundi, mara mdogo wa kike naye akasome hotel management, mara mama mkwe nae hajaja na yake, mara baba wa ubatizo naye hajaja na yake! hatuoi ng'ooooooooooooooooo!
 
kumbe dada yenu ndo mnaetegemea awainue kiuchumi? shame on you mtoto wa kiume! halafu we utakua mtu costal area!
 
Tumemsomesha uyo mtoto hadi hapo alipofikia!
 
kumbe dada yenu ndo mnaetegemea awainue kiuchumi? shame on you mtoto wa kiume! halafu we utakua mtu costal area!

Weeeeeeee tema mate chini! FYI she is our last born!!! Kila mtu ana maisha yake!!Afu samahani mie sio mtoto wa kiume
 
asingekuwepo jamaa?? Angemtia mimba akakimbia?? Angelkuwa hana kazi au kipato?? Mahari hajatoa, ndoa hajafunga, akifa leo atazikwa wapi? #ni mawazo tu#
 
Weeeeeeee tema mate chini! FYI she is our last born!!! Kila mtu ana maisha yake!!Afu samahani mie sio mtoto wa kiume
kwanza hata hajamuoa mshaanza kumpa majukumu! kwanza huyo anaoa ya nini? kama maziwa kapata na ndama pia ananunua ng'ombe wa nini?
 

Apo kwenye red tena uwe na adabu uache kuropoka ovyo! Hujui jinsi tumemgharamia huyo mtoto wewe!! Nyamaza kabisa!! By the way hatujamsusia, what happened ni kwamba mtarajiwa wake ana graduate this year na kuna amount anadaiwa! Huko kote sisi tumemgharamia! Kwa akili zake kamuomba amsaidie kulipa the last balance (na ni akili nzuri tu) na asiwasumbue kaka na dada zake!! Kilichotukera ni kwamba kwa nini atoe kauli hizo? Bora aseme hana hela kuliko kusema eti babako au nduguzako walipe!!Kwa mwanaume wa kweli nakuhakikishia hawei sema such words! Angefanya kila namna kumsaidia mwenzie after all ataishi nae na hata matunda ya kazi yate atashare na mumewe!!
 

Hivi ni kwanini watu wanapenda kulipiwalipiwa? Halafu mbaya wanalazimisha!!!Hadi kufungua nyuzi!

  • Huyo dadako aliyekuwa anamlipia ni nani hadi kafika huo mwaka?
  • Alivyopewa mimba alilazimishwa?Mimba ina uhusiano gani na ada?
  • Umejuaje shemeji yako kuwa hiyo hela anayo? Na kama unaona ni rahisi we ndugu yake si umlipie dada yako?
  • Inawezekana shemeji sasa hivi anajua kuwa anaoa na ni baba kijacho hivyo nguvu zake amewekeza kutengeneza maisha kwa huyo dada yako na mpwa wako atakayezaliwa. Sasa imekuwa kosa kumuoa dada yako hata mumbambikie na outstanding debts ambazo kimsingi ni za kwenu?
  • Acheni kutia aibu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…