Nyinyi vp? kwahiyo mnasubiria ajitomeze bwana tu kutaka kumwoa binti yenu mukimbie majukumu yenu sio? kwani nyinyi mnajua mipango yake ya maisha yake ama kipato chake mpaka muanze kumsusia majukumu? hembu malizieni hayo majukumu yenu kwa mwanenu jamaa asije kumdharau kwamba kwenu walishindwa kukusomesha nimekusomesha mie. Familia zetu za kiafrika tunazijua, utakuta janaa tayari alishakuwa na majukumu kibao na tena anajiandaa na ndoa na maisha ya ndoa tayari mnamuongezea rungu lengine la ada?! hembu kuweni na imani. kunajaavyangu alifanyiwa hivyo akabeba mzigo wote wa ada, chakula na kila kitu kisa kapeleka mahali. sasa hivi namwonea huruma jamaa, pesa hakuna, wife kashajijengea imani mme anapesa basi shida tupu! jamaa anajfungia ndani all the time after work anazuga na movie. alikopa kukabili yale majukumu na sasa ndio analipa deni maisha magumuuuuuuuuuuu kama reli.