Inakuaje kuaje mnaiponda Dar ?

Oxpower

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
2,180
Reaction score
3,118
Zamani na sasa watoto waomaliza form four wanajaza
shule za dar
Vyuo vya dar

Wakimaliza shule likizo wote wanataman kwenda dar .....yani kila mtu huko mikoani anataka dar

kuna vijana wenzetu wengi tu wako mikoani hawajawai kufika dar kila siku wanaiota dar

Halafu kanatokea ka kundi ka watu kanaanza kuiponda dar.kisa tu et kuna mashoga .......hao mashoga si wanatoka mikoani ,wakifika mjini wanataka kuteleza ndio wanaishia kuzibuliwa ......

Msiiponde dar,mimi bila shule dar ningeisikia tu kama wengine wa mikoani huko.ila saizi natamba tu nmesoma hapa hapa na sasa naelekea kujenga hapa hapa mkoani nitaenda kusalimia ndugu na jamaaa

Msituponde sisi wa dar,siku hizi tukiulizwa bado uko dar smtym tunadanganya.ila pokeeni Ombi letu msituponde sana
 
Lakini miwa mnatafuniwa kweli?
 
Wengi ambao wanaponda hawajawahi kufika au wanahisi dar tunafaidi sana na wao hawafaidi so wanatafuta balance ya kuonekana na mkoani ni bora...wengi tulio dar tumetoka mkoani huko waliko but sudennly wanatufanya kama hatujawahi fika huko wala hatuwezi maisha ya huko.
 
Mikoani huko ndio kwetu.huku tumekuja kutafuta na hela tunawatumia ,mizigo mnatuagizia na sisi bila hiana tunawafungia fresh yani.mkija mitandaon mnatuponda sana
 
inakuwaje madongo wanayotupa wanaume wa mikoani zidi ya mwanaume wa dar yanauma zaidi kuliko wanayotupa wanaume dar kwenda mikoani?
 
Mada ya mwanaume wa dar, mla kyepe yai, haanzi mechi mpaka kwanza apate supu ya pweza, kimoko hoi, wavaa mlegezo, wanyoa viduku, panya road, walaini, wapaka poda, wazibuliwaji, n.k
 
Mada ya mwanaume wa dar, mla kyepe yai, haanzi mechi mpaka kwanza apate supu ya pweza, kimoko hoi, wavaa mlegezo, wanyoa viduku, panya road, walaini, wapaka poda, wazibuliwaji, n.k
Je mlijuaje kama hatuanzi mechi bila pweza?tukisema mnatuharibia jiji mnakataa ,huo si ndio uchoko wenyewe sasa..dah huko mikoani vipi vipi huko
 
Je mlijuaje kama hatuanzi mechi bila pweza?tukisema mnatuharibia jiji mnakataa ,huo si ndio uchoko wenyewe sasa..dah huko mikoani vipi vipi huko
Dada zenu tukija dar kipindi tunawapiga mashine wanatusimulia yote mnapokuwa nao.
 
Dada zenu tukija dar kipindi tunawapiga mashine wanatusimulia yote mnapokuwa nao.
Huwa mnaanzaje anzaje sasa wanaume kuongelea wanaume wenzenu na wanawake,huo muda mnautoaga wapi? Hivi kwanini mnatuharibia jiji letu la uhamishoni.
 
wanaume wa Dar kwa kulia lia ndo maana Makonda anawachezea anavyotaka

Amewapima mkojo, sasa hivi anataka kuwapima mi****Ku***ndu
 
wanaume wa Dar kwa kulia lia ndo maana Makonda anawachezea anavyotaka

Amewapima mkojo, sasa hivi anataka kuwapima mi****Ku***ndu
Ndugu zenu sio muda wataanza kurudi mikoani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…