Semrah JF-Expert Member Joined Nov 3, 2016 Posts 598 Reaction score 829 Nov 19, 2016 #1 yaan unakuta mtu ana quote whole thread story . na mbaya zaidi unakuta story ni ndefu sana.. wengne inawachosha ku-scroll down.. especially wenye jf apps ndo inawachosha sana...
yaan unakuta mtu ana quote whole thread story . na mbaya zaidi unakuta story ni ndefu sana.. wengne inawachosha ku-scroll down.. especially wenye jf apps ndo inawachosha sana...
ukhuty JF-Expert Member Joined Oct 9, 2016 Posts 16,906 Reaction score 42,078 Nov 19, 2016 #3 Tumefika
Bonny JF-Expert Member Joined Feb 21, 2013 Posts 13,369 Reaction score 30,011 Nov 19, 2016 #4 Kuna ukwel aisee mfano kuna watu wana quote episode nzima ya hadith dah
kijani11 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 8,414 Reaction score 9,300 Nov 19, 2016 #5 hivi ni kwamba kifaa ninachotumia kipo tofauti au! Maana mtu aliyenukuu maelezo marefu kwangu hufupishwa labda nitake mwenyewe kuona yote.
hivi ni kwamba kifaa ninachotumia kipo tofauti au! Maana mtu aliyenukuu maelezo marefu kwangu hufupishwa labda nitake mwenyewe kuona yote.
Rosicky JF-Expert Member Joined Sep 21, 2015 Posts 1,204 Reaction score 2,072 Nov 19, 2016 #6 da we acha tu afu acho commet sasa???
SPECIAL TMN JF-Expert Member Joined Jan 3, 2014 Posts 1,160 Reaction score 905 Nov 19, 2016 #7 Very true!
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 26,719 Reaction score 98,897 Nov 19, 2016 #8 Pole mgeni
Semrah JF-Expert Member Joined Nov 3, 2016 Posts 598 Reaction score 829 Nov 19, 2016 Thread starter #9 kijani11 said: hivi ni kwamba kifaa ninachotumia kipo tofauti au! Maana mtu aliyenukuu maelezo marefu kwangu hufupishwa labda nitake mwenyewe kuona yote. Click to expand... ni kwasababu unatumia browser.....
kijani11 said: hivi ni kwamba kifaa ninachotumia kipo tofauti au! Maana mtu aliyenukuu maelezo marefu kwangu hufupishwa labda nitake mwenyewe kuona yote. Click to expand... ni kwasababu unatumia browser.....
Semrah JF-Expert Member Joined Nov 3, 2016 Posts 598 Reaction score 829 Nov 19, 2016 Thread starter #10 mge joanah said: Pole mgeni Click to expand... ni nan hyo???....
Mfitinishaji JF-Expert Member Joined Oct 12, 2015 Posts 572 Reaction score 600 Nov 20, 2016 #11 sipendi hii tabia oza