kuna movie flan inahusu train(treni) ambayo inatembea mwendo mkali bila dereva so wanahangaika kuisimamisha, niliiona kitambo jina nimesahau anaejua anitajie jina la hyo movie......!
Rjohn, Labda ungeongeza maelezo ingesaidia ku narrow down.Nnazozijua kulingana na maelezo yako kuna:
Runaway Train - Hii ni ya mwaka 1985 kacheza Jon Voight
Unstoppable - Ya 2010 kacheza Denzel Washington
Money Train - Hii kacheza Wesley Snipes, ni ya mwaka 1995
Cassandra Crossing - Hii ni ya miaka ya 70 kumbukumbu zangu zinanambia alicheza Martin Sheen
kuna movie flan inahusu train(treni) ambayo inatembea mwendo mkali bila dereva so wanahangaika kuisimamisha, niliiona kitambo jina nimesahau anaejua anitajie jina la hyo movie......!