finance2014
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 314
- 79
Nothing like that, usikariri
kwa mujibu wa loan board guide for loan allocation mwaka wa masomo 2015/2016 possible ceiling amount yani asilimia mia (100%) kwa kozi za udaktari na afya ni Tsh.2,300,000/=Kama chuo ada ni milion 6.2 program Doctor of Medicine wanakulipia yote? Maana nimeambia dactar analamba asilimia zote
Kama chuo ada ni milion 6.2 program Doctor of Medicine wanakulipia yote? Maana nimeambia dactar analamba asilimia zote
we unawaza mkopo kabla hujajua kama utapata?!! au unataka kuweka na bajeti ya viroba.
vp BED inakuwaje possible loan??
Kwanza ujue jinsi hela ya mkopo inavyogawanywa then uje ucoment
Sio kweli,
Ukipata asilimia mia utalipiwa ada yote only kama ada yako inalingana na scale ya serikali ya asilimia mia.Ndio maana wanafunzi wanaoenda kusomea udaktari pale St Joseph mpya wengi wao(wote) watapewa asilimia mia lakini wote lazima waongezee fedha maana ada ya chuo chao ni kubwa kuliko possible loanable amount
bado wengine wanafurahia kuchaguliwaila loan body wakitema mtaiona tz chungucha msingi mpigie el kura yako na shawishimzazi ili chuo msome bure otherwise kuna watakao enda na watakao baki nyumbani aminini nawaambia inauma sanaaa muulize yeyote ilo mtokea.Elimu NI hali ya kila mtu ila kwa tz hususanngaziza juu NI kulazimishianaa maana wapo watu wamekwepa kuomba koz muhimu kwa sababu ya mkopo.na bado sikuiz zile za priority kozi nazo NI probability,unaweza pewa ada lakin ukapata laki1 ama wengine wanapewa mpaka2000 mwisho wa siku boom lote unalipia ada kama Mimi na engineering yangu,pia unaweza kufata mkopo kwa koz fulan lakin ukakosahamu ya kusoma kwa kozi hyooonamwisho unadisco ama kuacha kusoma kabsa hivyo muhimu sana kufanya maamuzi sahihi ndani ya sanduku la kura.CHAGUA LOWASA USOME BURE
Nothing like that, usikariri
Sio kweli,
Ukipata asilimia mia utalipiwa ada yote only kama ada yako inalingana na scale ya serikali ya asilimia mia.Ndio maana wanafunzi wanaoenda kusomea udaktari pale St Joseph mpya wengi wao(wote) watapewa asilimia mia lakini wote lazima waongezee fedha maana ada ya chuo chao ni kubwa kuliko possible loanable amount
Nlkua naomba nijuzwe kuhusu taarifa za kuwa chuo cha kiu hakijasajiliwa na nacte kwa kozi za health especially pharmacy
Uko chaka mbayaaa
samahan wakuu nimechaguliwa coz ambayo ni non priorty UDOM (BED-AME) Sina mzazi mmoja na mwingine ni mlemavu hivi mkopo nitapata kweli???
aisee hv ulifikiria kabla hujaandika au ulikua unamalzia MB 8 zako?
kwa mujibu wa loan board guide for loan allocation mwaka wa masomo 2015/2016 possible ceiling amount yani asilimia mia (100%) kwa kozi za udaktari na afya ni Tsh.2,300,000/=
kwa kozi za uhandisi ni Tsh. 1,500,000/= kwa hiyo kama utapata asilimia 100 serikali itakupa kiwango hicho kwa kozi hizo. kama karo ya chuo chako itazidi kiwango cha mkopo asilimia 100. itabidi ujiongezee kutoka katika vyanzo vyako.
why wa set hiyo amount. kwa sababu wanatumia tution fees za public university kama reference yao kuwaongoza katika viwango. vyuo vyote vya serikali hakuna kinacho toza fees iliyo juu ya 1.5m kwa kozi za uhandisi na hakuna kinacho toza zaidi ya 2.3m kwa masomo ya udaktari
kwani tatizo liko wap mkuu?? nimeuliza coz watu wananikatisha tamaa wanasema sitapata mkopo. kwani nimechagua coz ambayo ni non priorty.
hakukua na ulazima wa kusema hali ya mzaz.