Inahusu mkopo

Erickson0708

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
207
Reaction score
34
Iv mkopo asilimia mia moja ni kama shingap nimeambiwa n million tatu na laki moja n kweli au
 
100% ni kulingana na ada yako ina maana ukipata 100% unalipiwa ada yote haijalish ni sh ngp
 
bado wengine wanafurahia kuchaguliwaila loan body wakitema mtaiona tz chungucha msingi mpigie el kura yako na shawishimzazi ili chuo msome bure otherwise kuna watakao enda na watakao baki nyumbani aminini nawaambia inauma sanaaa muulize yeyote ilo mtokea.Elimu NI hali ya kila mtu ila kwa tz hususanngaziza juu NI kulazimishianaa maana wapo watu wamekwepa kuomba koz muhimu kwa sababu ya mkopo.na bado sikuiz zile za priority kozi nazo NI probability,unaweza pewa ada lakin ukapata laki1 ama wengine wanapewa mpaka2000 mwisho wa siku boom lote unalipia ada kama Mimi na engineering yangu,pia unaweza kufata mkopo kwa koz fulan lakin ukakosahamu ya kusoma kwa kozi hyooonamwisho unadisco ama kuacha kusoma kabsa hivyo muhimu sana kufanya maamuzi sahihi ndani ya sanduku la kura.CHAGUA LOWASA USOME BURE
 
Loan possible ndo inafanya nn! Loan possible ndo inakufanya ukipewa 100 % upewe cash?
 
na kwa wale wa baed possible loan amount ni 50% je mtu anaweza kupata zaidi ya asilimia hiyo kulingana na sifa husika mfano yatima
 
jifunze matumizi ya new Alert sio kila upuuzi unalitumia hilo neno
 
Haraka ya nini?subiri wakitoa ndo utaelewa au umeshapga bajet ya kujenga nyumba kwa boom
 
Kama chuo ada ni milion 6.2 program Doctor of Medicine wanakulipia yote? Maana nimeambia dactar analamba asilimia zote
 
100% ni kulingana na ada yako ina maana ukipata 100% unalipiwa ada yote haijalish ni sh ngp



Sio kweli,

Ukipata asilimia mia utalipiwa ada yote only kama ada yako inalingana na scale ya serikali ya asilimia mia.Ndio maana wanafunzi wanaoenda kusomea udaktari pale St Joseph mpya wengi wao(wote) watapewa asilimia mia lakini wote lazima waongezee fedha maana ada ya chuo chao ni kubwa kuliko possible loanable amount
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…