Ahsante nashukuru mkuu, vipi uzi ni wa hivi karibuni maana isije kuwa kazi zimeshaisha kitambo nisaidie basi pia ukanitag kwenye huo uziKuna uzi humu unaelezea kuhusu kazi ya ujenzi kibaha huko. Jamaa aliacha namba kua yeyote mwenye uhitaji apige namba hii kwa maelekezo zaidi namba ni hii
0625249605.
Pia unaweza kutafuta huo uzi sikumbuki umeandikwaje mkuu.
Ni wa hivi karibuni Mkuu.Ahsante nashukuru mkuu, vipi uzi ni wa hivi karibuni maana isije kuwa kazi zimeshaisha kitambo nisaidie basi pia ukanitag kwenye huo uzi
no: nmezichukua nitamtafuta mkuu
Uzi ni haujamaliza mwezi ule mkuu, nikiutapa nitakutag ndgu. Mcheki tu huyo jamaa ndo ana detail zote nadhani zaidi hata ya uzi wenyewe.Ahsante nashukuru mkuu, vipi uzi ni wa hivi karibuni maana isije kuwa kazi zimeshaisha kitambo nisaidie basi pia ukanitag kwenye huo uzi
no: nmezichukua nitamtafuta mkuu