Inahitajika IST au SPACIO Namba D

Mpwa wangu, sikua na maana mbaya! Nimekueleza ukweli mtupu Niko kwenye hii biashara pia! Naweza kukutumia na namba za watu wengine uwasiliane nao uone kama utapata kwa bei hio Kwa namba hizo.

Ushauri wangu, Ukipata IST au Raum namba D kwa bei hio, Hakikisha anakupa na faili lake Vinginevyo utakua umeuziwa gari ya wizi. Kama nimekukosea kukushauri nisamehe Sana!!
Wewe huna usidhan wote hawana

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…