gsmsolution2009
Senior Member
- May 7, 2013
- 120
- 7
Kuna jamaa ana Verossa hapa imesajiliwa haijawahi kupata ajali anataka 12. kama upo tayari sema
kuna vitz registration namba BZX inahitajika mil 5.7
inahitajika gari aina ya saloon yeyhaliote iwe gx100.alteza.spacio.carina.au vitz iwe na hali nzuri isiwe imepata ajali au kupigwa rangi kama unayo ni pm..wale wanaojifanya wanajua kuongea nawaomba wakae kimya kama huna gari ya kuuza