inaboresha au inaua?

tan 90

Senior Member
Joined
Jul 29, 2012
Posts
182
Reaction score
36
wasalaam wadau,naomba kujuzwa wadau katika hili,je kuongea na kuchat na girlfriend wako had usiku wa manane kila siku iendayo kwa mungu inaboresha au inaua mapenzi yenu? Kuhusiana na kuchokana je? Na nin faida au hasara zake?
 
wasalaam wadau,naomba kujuzwa wadau katika hili,je kuongea na kuchat na girlfriend wako had usiku wa manane kila siku iendayo kwa mungu inaboresha au inaua mapenzi yenu? Kuhusiana na kuchokana je? Na nin faida au hasara zake?

Kama wote manapenda kuchat, inadumisha mahusiano, lakini kama mmoja wapo hapendi kuchat, inawezekana kukawa na hali ya kuboana!

Kuchokana huja kama kuna mmoja wapo au wote mna tabia mabazo hazifanani na tabia ya mwingine ni kero kwa mwenzake. Mfano, kama mmoja ni mlalamishi sana, au ni mgomvi sana kwa mwenzake au mlevi mno na mwenzie siyo mlevi au mwingine ni mtu wa nyumba ndogo, nk.

Ni vyema kuwa na mtu ambaye sehemu kubwa ya tabia zenu zinafanana ili kuepuka kuchokana.
 
HorsePower una moyo sana,mi nimekosa cha kujibu hapa
'
Naona kama mtoa mada ni mtoto hivi!
 
Last edited by a moderator:
HorsePower una moyo sana,mi nimekosa cha kujibu hapa
'
Naona kama mtoa mada ni mtoto hivi!

Uko right kabisa Eiyer, lakini saa nyingine huwa najisikia kuwaonea imani hawa watoto wa siku hizi wanaokimbilia ukubwani nakusema acha tu nichangie chochote huenda nikamsaidia kwa namna moja au nyingine kuliko kukaa kimya kabisa ....
 
Last edited by a moderator:
for me,if i sleep,i sleep,unless otherwise there is something serious

uchovu wa kazi then nianze kuchat no way!!!!!!!

nadhani i did it when I was growing up,kuchat mpaka late night!!!!!!
 
Kama ni jambo mlipendalo, basi inaboresha otherwise inaua
 
ujinga tu hakuna cha kudumisha wala nin ni sawa na kumwambia mpenz wako siwez ishi bila wewe. wewe ni pumzi yangu harafu mkiachana ata wik aipit kila mtu ashapata mwingine.
 
^^
Nikipata wa kuchart nae,pengine ntaweza kujua.
Ila kwa sasa,ngoja niwe pembeni kidogo.
^^
 
Mh! Kupoteza muda tu! Nusu saa inatosha ikzd one hour na inategmea mwaongea ki2 gani tena kama mpo mikoa tofaut,utakuta mtu sa nne had sa nane za ucku umeng'ang'anala tu na cm sikioni khaa! Mnaongea nini ka si kuboana tu? Jibu-haiboreshi mdogo wangu!
 
mchana busy na kazi usiku busy na simu utapumzika muda gani, wala haijengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…