In Zimbabwe kila mtu ni millionaire

Wacha nizamie niende zangu Zim nikawe millionaire mimi
 
hiyo imeishapita mkuu haipo tena sasa hivi zimbabwe wanatumia sa brands usd na euro
 
Naona hiyo ni sawa sawa na mayai matatu na inaonyesha uchumi wao unapaa hadi kila mwananchi kuwa biliionea safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…