This bring the point that "couples need to be friends" period. kama mtakuwa friends hamtaogopa kujadiliana mambo ya kuijenga ndoa yenu.
kuna siku nikiwa na rafiki zangu walipita kununua shanga, na mimi kikawaida huwa situmii shanga, nikasema ngoja nijaribu, nikanunua moja, nilipofika home nikamwambia rafiki leo nimenunua hii, unapenda? tukakubaliana tujaribu. na sidhani kama alinifikiria vibaya maana angeniambia