Kasimba G
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 3,428
- 2,612
Wana Jamvi!
Wakeup call inayoyakiwa kama wabunge wapo serious na ujenzi chanya wa taifa letu pendwa ni uundwaji wa tume huru ya uchaguzi, asikiae na afahamu!
Wabunge woote pasi na kuangalia itikadi za kisiasa wala milengo yao wala makundi yao, wakomalie suala la katiba especially kurekebisha mambo ya uchaguzi.
Niwahakikishieni wabunge wa CCM hampo safe hata kidogo, je mkija katwa kwenye kinyang'anyiro! manaake mwenyekiti wenu kisha sema mkimaliza kinyang'anyoro majina yatakuja kwake na atakata waliohusika na rushwa nk! sasa hapo kwa dalili zilizowazi inaweza ikawa kukatwa kwa "rushwa" sio rushwa ya kawaida.
Jitafakalini na muanze mchakato huo then mtakuwa safe la si hivyo hamtakuwa mmelitendea haki taifa letu. na mtakuwa hamjamuamsha mkuu na utendaji wake kwani suala kama hilo likitokea inawezekana mkulu akawa kiongozi mzuri tuu maana kujiamini kuwa anaweza badiri matokeo atakavyo kutaisha na itakuwa hapa kazi ya ukweli!
Suala la impeachment linaweza fuatia hapo!
Nawasilisha!