Impact ya maandamano ya Chadema

Ujumbe uliokusudiwa kufikishwa kwa wananchi umefika kote kote, hata kwa serikali na chama tawala umetikisa. MABADILIKO YAJA!
 
Bwana mkubwa Jk ameongeza ziara za nje kwa sab bado kuna soko lake
Ziara za ndani anamtuma Pinda asafishe njia,soko la kuuza sura ndani ya nchi inakaribia kwisha kabisa
Juzi makamu wake alipofanya ziara Mbeya ilibidi huo ujio utangazwe sana ili kuvuta wananchi
 
Kikwete anafikiri watu wamesahau aliposema vyama vya upinzani ni vya msimu hakujua kitu kama hiki kitatokea sasa vyama vinafanya siasa amegeuka anasema uchaguzi umekwisha wasubiri ujao ili aje aseme yale yale. Ajue watu hawatanii wanafanya kweli.
 
CCM wajibu hoja za CHADEMA ambazo ndo ukweli kuliko kutishia kwani chadema ni watanzania hivyo wasifikiri chadema ni viongozi tu.

Majibu yapo basi, watoe wapi!
Waliahidi meli, viwanja vya ndege, barabara, maziwa na hakufanikiwa kupata kura hadi wakachakachua. Sasa watajibu nini kama sio kulalama!
 
Tusubiri ZeMarcopolo, GeniousBrain (???) na wenzake watakuja na sura ipi
 
Tusubiri ZeMarcopolo, GeniousBrain (???) na wenzake watakuja na sura ipi
Hawana nyimbo zozote zenye beti mpya bali wamefulia tu hao! Wezi wakubwa na wachakachuaji wa karne. Wanalazimisha kukaa katika utawala ili waendelee kutuibia!
 

Jambo Quinine!
Speaking of the impact, yes there is an impact which has resulted from the CDM demos in the Lake Zone. But one would like to ask, is it the envisaged impact for CDM? in my opinion, the CCM has benefited a lot from this demos too. in fact, before the Demos, there was a lot of tension from both from CDM and CCM sides since none was sure of the aftermath of the Demos. in the end all went on peacefully and people went home and the following day was just another peaceful day!!
The positive impact as far as CDM is concerned is popularity, had it been that, we were to go far voting, CDM would have won a great deal, however as we stand there is no voting till 2015, a lot may change. The demos for CCM have, have played a role of a safety valve!! the negtive emotions have been ejected from the demonstrators, they have said all what they could not say under normal circumstances. so as i have said above, the was a positive impact for both CDM and CCM.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…