Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,797
- 71,217
Tulikuwa nafasi hiyo kwa vile tulikuwa hatupiki data tunasema ukweli.Kwani wewe shida yako ni Kenya? Mbona husemi Nigeria ambayo inatupita mara tisa? Jamani tukubali kuwa tuko kwenye right track kwani miaka si mingi tulikuwa nafasi ya pili mwisho kwa nchi masikini duniani wakati huo Kenya ikiwa na uchumi wa kati. At this pace mwaka 2025 tutegemee kuwa juu zaidi.
Na pengine ingekuwa wakati ule wa kusema ukweli kwa hali ya sasa tungekuwa wa kwanza toka kuleee!