Imethibitika

McFerson

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
2,167
Reaction score
2,328
Wasalaam MMU,

Katika hali ya kutafakari nimeconclude kuwa wanaume linapokuja suala la genye tuko wepesi sana kushawishka.Yaani utashangaa mwanamke unamtokea hata zaidi ya mwaka mashairi yanagonga mwamba.

Ila mwanamke akukivalia njuga hakiya nani hukatizi mwezi hataki kama mgumu kias gani, utashangaa hata kama bidada hajakuvutia unaamua kuweka jina. Worse enough hata tuhousegirl tuchaftuchafu unakuta ndio tunakuwa mcharo aisee.

Sasa nikawa najiuliza, hivi kama wanawake nao wangekuwa kama sisi wanaume, hii dunia ingekalika kweli? Pamoja na hayo kuna wanaume wako ngangari, iron faces especially washika dini sana(%ndogo sana)
.
 
Hakuna mwanaume rijali ambaye ni ngangari mbele ya manzi aliyedhamiria, ila wapo wanaotumia akili na kuepuka situations za kubananishwa.
 
Demu anajileta mwenyewe alafu ukatae ili iweje?
Ndio mwanzo wa kutangaziana vibaya mtaani
Ikijitongozesha unachapa tu!
 
wanawake na wanaume wote sawa tu
siku hakuna demu anatakunyima ukimtongoza. labda uwe hujui kuwasilisha mistari
 
Duh kweli hg mchafu mchafu kama haummuweki sawa atakate aonekane vizuri basi waajiri nao wachafu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…