Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,628
- 6,669
Kocha wa Barcelona ya Hispain Luis Enrique, ametangaza rasmi kwamba mwishoni mwa msimu huu ataachana na kuifundisha timu hii kwa lengo tu la kuhitaji kupumzika!
Haya aliyasema jana, baada ya mechi ya ligi nchini humo, ambapo barcelona iliibuka na ushindi wa bao 6 dhidi ya sporting gijon
Kocha huyu mwenye mafanikio clubuni hapo, mkatataba wake na timu hiyo unamalizika mwezi juni mwaka huu hivyo hataongeza mkabata mwingine
kwa msimu huu barcelona inaonekana kutokufanya vizuri zaidi kwenye michuano ya club bingwa barani ulaya(UEFA), hii inaonekana ndio sababu kuu baada ya kipigo cha bao 4 kwa 0 toka kwa miamba ya soka ya ufaransa PSG!