Sikuzote next second siyo yetu mkuuImeshawahi kukutokea mtu unamuulizia kumbe ameshafariki miezi miwili iliyopita basi mimi
Nilitumiwa meseji na rafiki mchina, akiomba tuongee plan ya biashara, sikujibu akapiga sikupokea , nikajisemea nitaongea nae kesho, akatuma picha ya solar panel,
kesho nikapiga simu haikupokelewa, kila siku nikawa napiga haipokelewi, siku saba mfululizo,
nikatuma meseji, " kuna tatizo gani, au nimekuudhi kitu " mbons sio kawaida
Nikajibiwa
" Mimi ni mke wake, rafiki yako alipata ajali , siku aliyokupigia simu muongee, slipata ajali ya gari hapo akafariki hapo hapo, ndio tumemaliza mazishi"
nilistuka saana
Bado nawasiliana na mke wake ni miaka mitano sasa, hii ilinifundisha kuwa
"KESHO NI SIKU NYINGINE"
Vipi wewe imeshawahi kukutokea ???
Umenikumbusha kifo cha mpendwa ibra tulipe kuepo nae dakika moja.Imeshawahi kukutokea mtu unamuulizia kumbe ameshafariki miezi miwili iliyopita basi mimi
Nilitumiwa meseji na rafiki mchina, akiomba tuongee plan ya biashara, sikujibu akapiga sikupokea , nikajisemea nitaongea nae kesho, akatuma picha ya solar panel,
kesho nikapiga simu haikupokelewa, kila siku nikawa napiga haipokelewi, siku saba mfululizo,
nikatuma meseji, " kuna tatizo gani, au nimekuudhi kitu " mbons sio kawaida
Nikajibiwa
" Mimi ni mke wake, rafiki yako alipata ajali , siku aliyokupigia simu muongee, slipata ajali ya gari hapo akafariki hapo hapo, ndio tumemaliza mazishi"
nilistuka saana
Bado nawasiliana na mke wake ni miaka mitano sasa, hii ilinifundisha kuwa
"KESHO NI SIKU NYINGINE"
Vipi wewe imeshawahi kukutokea ???
Kama ww mfupi mgongo hautapinda....😃Tunaoamini tutaishi miaka 100 bila mgongo kupinda tukutane hapa(usije kama tayari una Ukimwi wa kujitakia labda uwe wa kuzaliwa nao)
Imani huweza kung'oa milima.
abeee😀Kama ww mfupi mgongo hautapinda....😃
Yes,ni futi 5.5 sitopinda aisee,japo Kuna vibibi vifupi na vimepindaKama ww mfupi mgongo hautapinda....😃
Hiyo malizia yako sijaipenda 🤣🤣🙌Mimi situation Kama hiyo sijawahi kuipitia .
Kwahiyo ulikuwa uki-M please boss kuwa why upo kimya or what strong? Boss .
Ulikuwa unamuandikia hivyohivyo ndugu dokta?Mimi situation Kama hiyo sijawahi kuipitia .
Kwahiyo ulikuwa uki-M please boss kuwa why upo kimya or what strong? Boss .