MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,588
at last sasa unaongea vizuri, unadhani ukiongea hivi hata kama nimekasirika kiasi gani naweza kweli kunyoosha mkono wangu kukupiga, aaah, nitaishia tu kusema sweetie, angaliangalia vipi tutoke leo si unajua tangu enzi zile za bibi kigomaaaaaa, .............aaaah, bana na wewe hutaniwi? basi nisamehe switie, sometimes nakupendaga ila huwa hujui tu, mie hata unibebeshe migunia ya kuniangusha nitajitahidi japo nikurushie kabusu hata kamoja tu kabla sijaanguka................. aaah..............aaah................ kisha nakuvutia chumbani, tunasawazisha kiutu uzima, si unaona sasa? hakua cha hospitali wala machela!!!!
hehehe!Nilijua tu utasema Nyumba Niitu!
hahahahahaha!
Mama yangu ni Mtu wa Ilembula!
Unaweza ukuwa ankal!
...😀😀
wa-beijing leo mmekuwa wakali kweli
uwe makini bwana mkubwa usiniharibie program yangu ya tar 13/02/2010.wa-beijing wengi ndio wachangiaji...!wanaume BLAH BLAH na UKANDAMIZAJI!lolnakwambia leo kazi ipo mkuu,
kumbe beijing V/S bustani ya edeni ni vita kamili!!!!!!!!!!!!
Ah naona lunch tym inakua nzuri....dah nimecheka sana!!Ila huyo naye kazidi, utamsevuje kimada Honey....? Sasa na huyo mkewe kwenye simu kamsevuje? KISIRANI au? 🙂
ni frnd wangu wa kufa na kuzikana, ni yeye kila cku alikuwa ananicctiza kutoshika/jali cm ya mr akinisihi kama napenda nikae kwenye ndoa kwa amani nicjihucshe na mambo ya cm ya mr kama yeye anavyoiogopa cm ya mr wake, cjui juzi kitu kama kimemuingia wapo supermarket mr kasahau fone kwenye gari akasema ngoja niperuzi akakutana na msg ya kwanza kutoka kwa "my han' ndivyo ilivyoseviwa hivyo na msg ilkuwa inasema "my han naomba ukija upitie supermarket unichukulie vitu vya ndani vimeniishia".....mr karudi kwenye gari mke kamuuliza vizuri tu kuna mtu umem save my han, ni nani huyu mume wangu, mume hakujibu lolote kawasha gari mpaka home kufika kamkung'uta mke wake ipasavyo,, akawasha gari kaondoka bila maelezo yoyote na mpaka sasa hajulikani alipo, jana asubuhi frnd ndio ananical ananieleza yote haya, ana mimba ya miezi 4 akaniambia ameona kitu kama period hivi nikamwambia wahi hosp itakuwa ni mshtuko wa kipigo, namaliza kuongea nae housegal wake ananical ananimabia "dada" amezimia, kumbe alipigwa vibaya ameumia ndani kwa ndani sehemu za kichwa yupo KCMC amelazwa hajitambui na mimba imetoka, ndio nipo naelekea moshi kumuona.....hebu mniambei jamani tunakoelekea na hizi ndoa....nimebakia kulia tu nikiomba mungu nimkute salama....waume zutu hivi mnataka tuwafanyie lipi jema kwenu jamani, mliooa humu hebu niambieni kosa la huyu mdada kupata kipigo kikali hivi ni nini?
Hee! Na mimi nijibuje
..." sawa mpenzi lakini huwa unanikosea mume wangu, unapotembea na huyo wa nje najua hutumii kondomu kabisa. sawa nasubiri uniue kwa maradhi!!' nawe utanijibu
Hapana darling siwezikukuua nakupenda sana na huwa ninahakikisha kule navaa condom tena mbili kwa ajili ya kukulinda.....?????
Akili Kichwani mpenzi wangu hapa hapana loh!!
uwe makini bwana mkubwa usiniharibie program yangu ya tar 13/02/2010.wa-beijing wengi ndio wachangiaji...!wanaume BLAH BLAH na UKANDAMIZAJI!lol
SHAME ON MEN
dah, mambo yanaanza kunoga mpenzi..............
hapo mwishoni mie sitasema "...navaa condom mbili...." hapana nitaapa kuwa kuanzia leo yule nyani bizaini sitaki hata kuiona sura yake, ukitaka mpenzi tupange nikuonyeshe umfunze adabu aache kupenda vya wenzie. hatujui yule tumetoka mbali mi na wewe, lakini dia na wewe punguza wivu, yaani ulinitizama jicho hilo mpaka nikaogopa! utadhani uliataka kunimeza!....... ndio maana nakupenda, ngawala ya maisha yangu, hata mawimbi yvume makubwa kiasi gani, sisi tunapeta tu baharini, mwe.... i alwayz thank God for you dia
Ila huyo naye kazidi, utamsevuje kimada Honey....? Sasa na huyo mkewe kwenye simu kamsevuje? KISIRANI au? 🙂
..NOTED!lakini wanaume tupunguze UMWINYI!tujaribu kuwa fairmkuu, i wish u all da best kwenye hiyo program.......usigope rasharasha mkuu, masika yako ndani ya ndoa!!!!!!!!
Halafu ukitoka kwangu wenda kwa huyo wa huko na kumwambia ' ah nishayamaliza hana ubavu yule wa kunizuia mie kuwa na wewe- hana say yoyote juu yangu tuendeleze mapenzi yetu kwanza nimemwambia nataka nimpe talaka, kikanililia pale nikakionea huruma but nimekiambia kikirudia tena tu ni talaka kwa kwenda mbele atupe nafasi nijilie maisha na mrembo weye' kesho na keshokutwa yule kimada hachelei kujitapa kwanza mumeo kasema huna lolote na umembembeleza asikuache kwa kuwa utaumbuka mjini hapa.
Yaani sijui ni movie stars nyie???
Hahahahaaa itakuwa kama ila ya jamaa ndoa ilivunjika baada ya mkewe kukuta kaseviwa GUANTANAMO
We acha tuu inawezekana jamaa anapata mateso makali kutoka kwa Mkewe mpaka kamua kumuita Guantannamo!! si unajua Materarist wanavyotesaka kule guantannamo? dah si mchezo!!Hahahahah! Hiyo kali! Kweli huyo jamaa alikuwa kamchoka mkewe!
Ila huyo naye kazidi, utamsevuje kimada Honey....? Sasa na huyo mkewe kwenye simu kamsevuje? KISIRANI au? 🙂
Pole sana Nyamayao na rafikiyo. Hii somo aliyokuwa anakupa kwa maneno amekufikishia kwa matendo kabisa. Unfortunately imekuwa kama kujaribu ukali wa sumu kwa kuionja. Ni hivi, unachokataza wenzio kama kina ubaya na wewe pia usikifanye.
Huyo mume natumaini yuko rumande.
my han...can u imagine laaziz, mama babra amenical ananiambia amezinduka lakini bado ana wenge wenge....natamani nipae nifike haraka..