Tuseme kwamba ulikua unalipwa wastani wa 1,000,000 kwa mwezi hiyo 30,000 tuitoe.
Kwa 1000,000 kwa mwezi ni sawa na 12,000,000 kwa mwaka, kwa miaka 10 ni sawa 120,000,000. Ujenzi wa nyumba wa vyumba 3 na sebule, choo ina cost 35,000,000.
120,000,000 - 35,000,000 = 85,000,000. Je ulishindwa kutumia 85,000,000 matumizi mengine iliyobaki ukajenga nyumba?
Hesabu hizi tuna assume other factor is constant.
Hebu tafakari haya mawazo.
Mkuu una matumizi mabaya ya fedha, unalipwa hela nyingi lakini huna maendeleo ya maana, mimi niliajiriwa mwaka 2008, nilianza kulipwa 150,500/= kama basic salary.habari wadau..
leo ilikuwa tarehe niliyomaliza chuo kikuu mwaka 2009...
nilibahatika kupata ajira ya kwanza mapema sana mwezi mmoja baada ya kuhitimu chuo mwaka 2009..
toka mwaka huo mpaka leo nimebadili waajiri zaidi ya mara 5 kutafuta greaner pasture...
na katika harakati zote hizo mshahara wa juu kuwahi kulipwa ni milioni moja na elfu 30 net...
najaribu kupima mafanikio ya kufanya kazi miaka 10..
siyaoni makubwa zaidi ya chumba na sebule nilichojenga tabata segerea napoishi..na gari ndogo nayoitumia.. na hapo mimi ni mbahili vibaya mno hata buku naithamini
vijana ambao hamjapata ajira... msisikitike sana kukosa ajira jitumeni kwenye ujasiriamali.. ajira nyingi hazilipi.. ni ajira chache sana ambazo zinalipa na zina mizengwe sana kuzipata maana wanaweka watu wao.
ila yote ya yote nashukuru kiasi japo mafanikio hayaendani na stress nazozipata kwa muajiri..
hali mbaya sana kwa kweli