Imenichukua miaka 10 kujenga chumba na sebule , na kunua gari aina ya terrios kid - kweli ajira nyingi hazilipi zama hizi

Acha kudanganya watu wewe, Taasisi gani wanaotoa ongezeko la mshahara kwa karibu ASILIMIA 100? Bila uongo na kutaka kujisifu kwa jambo usilokuwa nalo, maisha hayaendi?
Umeharibu uzi hapo tu, sawa sawa?
labda alienda kusoma kujiendeleza
 
Hivi kwanini unaendelea kudanganya wewe? Nani hajui maana ya "recategorization"? Kwani awali ulikuwa Mwalimu, au?
Mkuu unaonekana unanionea wivu tu.
Sijui huelewi nini... au unadhani hiyo nayo ni chai. Hebu ielezee recategorization kama inaielewa, yaani nlikuwa nalipwa 505,000/= hadi 1,000,000/= sasa.
 
Tuseme kwamba ulikua unalipwa wastani wa 1,000,000 kwa mwezi hiyo 30,000 tuitoe.

Kwa 1000,000 kwa mwezi ni sawa na 12,000,000 kwa mwaka, kwa miaka 10 ni sawa 120,000,000. Ujenzi wa nyumba wa vyumba 3 na sebule, choo ina cost 35,000,000.

120,000,000 - 35,000,000 = 85,000,000. Je ulishindwa kutumia 85,000,000 matumizi mengine iliyobaki ukajenga nyumba?
Hesabu hizi tuna assume other factor is constant.

Hebu tafakari haya mawazo.
Una mahesabu kama ya wale wanaosemaga, kunywa bia moja ni Sawa na tofali moja
 
Tuseme kwamba ulikua unalipwa wastani wa 1,000,000 kwa mwezi hiyo 30,000 tuitoe.

Kwa 1000,000 kwa mwezi ni sawa na 12,000,000 kwa mwaka, kwa miaka 10 ni sawa 120,000,000. Ujenzi wa nyumba wa vyumba 3 na sebule, choo ina cost 35,000,000.

120,000,000 - 35,000,000 = 85,000,000. Je ulishindwa kutumia 85,000,000 matumizi mengine iliyobaki ukajenga nyumba?
Hesabu hizi tuna assume other factor is constant.

Hebu tafakari haya mawazo.
Kwani pia si kuna kodi na makato ya mifuko ya jamii....kama Hiyo 1.3m ni gross basi take hm ni kwenye 8k mpaka 7k.
 
Tuseme kwamba ulikua unalipwa wastani wa 1,000,000 kwa mwezi hiyo 30,000 tuitoe.

Kwa 1000,000 kwa mwezi ni sawa na 12,000,000 kwa mwaka, kwa miaka 10 ni sawa 120,000,000. Ujenzi wa nyumba wa vyumba 3 na sebule, choo ina cost 35,000,000.

120,000,000 - 35,000,000 = 85,000,000. Je ulishindwa kutumia 85,000,000 matumizi mengine iliyobaki ukajenga nyumba?
Hesabu hizi tuna assume other factor is constant.

Hebu tafakari haya mawazo.
Hivi Umetumia nini kufikiri hivyo? Hiyo 1m ni gross or Net? Umeangalia PAYE, NSSF, TUICo, Bima ya afya wanakata kiasi gani?
 
Tuseme kwamba ulikua unalipwa wastani wa 1,000,000 kwa mwezi hiyo 30,000 tuitoe.

Kwa 1000,000 kwa mwezi ni sawa na 12,000,000 kwa mwaka, kwa miaka 10 ni sawa 120,000,000. Ujenzi wa nyumba wa vyumba 3 na sebule, choo ina cost 35,000,000.

120,000,000 - 35,000,000 = 85,000,000. Je ulishindwa kutumia 85,000,000 matumizi mengine iliyobaki ukajenga nyumba?
Hesabu hizi tuna assume other factor is constant.

Hebu tafakari haya mawazo.
Kitendo tu chakuweka "other factors to be costant" hii inaonyesha kwamba hii iko theoretical zaidi kuliko practical

Pili Kama umesoma vizuri andiko la jamaa anasema kiwango kikubwa Cha msharaha kulipwa kulingana na kazi alizofanya (zaidi ya tano ndo hicho million 1 na 30000 net)

Kwa maana hiyo Kuna mda alikua analipwa chini ya hicho kiwango kwa hivyo analysis yako inakua dhaifu
 
habari wadau..

leo ilikuwa tarehe niliyomaliza chuo kikuu mwaka 2009...

nilibahatika kupata ajira ya kwanza mapema sana mwezi mmoja baada ya kuhitimu chuo mwaka 2009..

toka mwaka huo mpaka leo nimebadili waajiri zaidi ya mara 5 kutafuta greaner pasture...

na katika harakati zote hizo mshahara wa juu kuwahi kulipwa ni milioni moja na elfu 30 net...

najaribu kupima mafanikio ya kufanya kazi miaka 10..

siyaoni makubwa zaidi ya chumba na sebule nilichojenga tabata segerea napoishi..na gari ndogo nayoitumia.. na hapo mimi ni mbahili vibaya mno hata buku naithamini

vijana ambao hamjapata ajira... msisikitike sana kukosa ajira jitumeni kwenye ujasiriamali.. ajira nyingi hazilipi.. ni ajira chache sana ambazo zinalipa na zina mizengwe sana kuzipata maana wanaweka watu wao.

ila yote ya yote nashukuru kiasi japo mafanikio hayaendani na stress nazozipata kwa muajiri..

hali mbaya sana kwa kweli
Natamani siku moja nifikie huo mshahara wa milioni moja!!!!
 
Tuseme kwamba ulikua unalipwa wastani wa 1,000,000 kwa mwezi hiyo 30,000 tuitoe.

Kwa 1000,000 kwa mwezi ni sawa na 12,000,000 kwa mwaka, kwa miaka 10 ni sawa 120,000,000. Ujenzi wa nyumba wa vyumba 3 na sebule, choo ina cost 35,000,000.

120,000,000 - 35,000,000 = 85,000,000. Je ulishindwa kutumia 85,000,000 matumizi mengine iliyobaki ukajenga nyumba?
Hesabu hizi tuna assume other factor is constant.

Hebu tafakari haya mawazo.
Hizo assumptions zako haziko Sawa mkuu, ilitakiwa utafute average income Kwa miaka kumi , Kwa kuchua highest value plus lowest value of income then ugawanye sema bahati mbaya yy hakuitaja lowest income aliyowahi kuipokea , au chukua income zote alizowahi kulipwa then ugawanye , halafu uzidishe Kwa hiyo miaka kumi , kuassume miaka yote kumi amepokea sh 1M Kwa kila mwezi sio sawa
 
habari wadau..

leo ilikuwa tarehe niliyomaliza chuo kikuu mwaka 2009...

nilibahatika kupata ajira ya kwanza mapema sana mwezi mmoja baada ya kuhitimu chuo mwaka 2009..

toka mwaka huo mpaka leo nimebadili waajiri zaidi ya mara 5 kutafuta greaner pasture...

na katika harakati zote hizo mshahara wa juu kuwahi kulipwa ni milioni moja na elfu 30 net...

najaribu kupima mafanikio ya kufanya kazi miaka 10..

siyaoni makubwa zaidi ya chumba na sebule nilichojenga tabata segerea napoishi..na gari ndogo nayoitumia.. na hapo mimi ni mbahili vibaya mno hata buku naithamini

vijana ambao hamjapata ajira... msisikitike sana kukosa ajira jitumeni kwenye ujasiriamali.. ajira nyingi hazilipi.. ni ajira chache sana ambazo zinalipa na zina mizengwe sana kuzipata maana wanaweka watu wao.

ila yote ya yote nashukuru kiasi japo mafanikio hayaendani na stress nazozipata kwa muajiri..

hali mbaya sana kwa kweli
Lets say kama ulianza kazi una 26 basi sasa hivi una 36..

Aisee jitahidi sana kukimbiza maana bado maaka 14 tu ufike 50.

Bado upo chini ya malengo...achievements vs Age.

Kwa vijana wanaomaliza chuo kwa sasa hao ndiyo wana changamoto kubwa zaidi....unaweza kujikuta graduate unakaa home miaka 10 ajira hakuna.
 
au labda hako kagari kake kanakunywa sana mafuta?,,,maana haingii akilini asee,bora angeanza na baiskeli kwa ajili ya usafiri kwanza badala ya gari
 
Lets say kama ulianza kazi una 26 basi sasa hivi una 36..

Aisee jitahidi sana kukimbiza maana bado maaka 14 tu ufike 50.

Bado upo chini ya malengo...achievements vs Age.

Kwa vijana wanaomaliza chuo kwa sasa hao ndiyo wana changamoto kubwa zaidi....unaweza kujikuta graduate unakaa home miaka 10 ajira hakuna.

chuo kikuu kumaliza na miaka 26 mingi sana mbona hiyo..

chuo kikuu nilimaliza na 23.. degree ya miaka mitatu..

pia kumbuka kuna mke na mtoto hapo.. plus harusi pia ni bajeti imekula hela.. plus majukumu ya kulea dependant umeyasahau
 
Ongera sana mleta mada umejitahidi sana, mimi nimemaliz chuo mwaka wa tank sasa siijui ajira, nimeangaika San kuitafuta sijapata, bado nimepanga chumba na sebure kodi nalipa elfu 60, nina miaka 32 kwa sasa
 
Hujaona aliposema kabadilisha waajiri watano.. Unafikir alianza na mshahara wa milioni?

Hata ingekuwa hivyo hesabu zako ni za kiabunuwasi
Tuseme kwamba ulikua unalipwa wastani wa 1,000,000 kwa mwezi hiyo 30,000 tuitoe.

Kwa 1000,000 kwa mwezi ni sawa na 12,000,000 kwa mwaka, kwa miaka 10 ni sawa 120,000,000. Ujenzi wa nyumba wa vyumba 3 na sebule, choo ina cost 35,000,000.

120,000,000 - 35,000,000 = 85,000,000. Je ulishindwa kutumia 85,000,000 matumizi mengine iliyobaki ukajenga nyumba?
Hesabu hizi tuna assume other factor is constant.

Hebu tafakari haya mawazo.
 
Umejitahidi kwa pesa unayolipwa wengine hawana kitu chochote zaidi ya gari la ofisi usikatishwe tamaa na wachache humu maisha ndio hayo hayo...
 
Thanks God baada ya kutoka chuo nilipata kazi flani hivi ya mkataba, nilifanya marekebisho katika nyumba ya wazazi wangu kwa kweli inakapendza, ilinicost karibu million 3 na Zaid, baada ya hapo nkanunua eneo langu kwa kiasi cha shilingi MIilion sita, mkataba ukaisha,
Ni kaingia katika biashara nikaweka msingi wa nyumba karibu na lenta, biashara I kaenda vibaya nashukuru Sana Mungu nkapigwa tafu na Baba mzazi hadi nikahamia kwangu,.
Pamoja na biashara ndogo ndogo lakini pia najifugia vikuku vyangu.
Good girl
 
Back
Top Bottom