Mtundu wa Tech
JF-Expert Member
- Aug 19, 2019
- 642
- 612
Kusanya vyote choma moto baharia
wakianika ndani au nje we inakusadia nini [emoji45]
Mkuu umekuja na I'd nyingine ili utoe povu
Tafuta demu mkuu nazani itakusaidia katika mindset yako kuviona kua ni kitu Cha kawaida tu, ivi unataka kuniambia ata sweming uendagi?
Kwani kuna shida gani. Hizo si nguo za kawaida tu? Mwishowe utataka hata dukani zisining'inizwe kwa uwazi. Hawa vijana wanobareheshwa na mitandao bwana taaaaabu tupu.Hii tabia ya wadada/wamama kuanika nguo zenu za ndani hasa vyupi hovyo kwenye kamba mtaacha lini?
Maana kunakua na kero kuviona vyupi vikielea tu kwenye kamba hasa hizi nyumba za kupanga yaan kero tu.
Vyupi, taiti na vile vitambaa vya bleeding sijui[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Si kweli...Chupi zote zianikwe nje kwenye jua.