Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,470
mkuu issue sio kuogopa kupata mtoto, issue ni je yaweza kuwa yangu?mmmnh sasa mkuu kama unaogopa kumpa mtu mimba si ungevaa kinga?
omba upate huyo mtoto,na iwe hujaukwaa....
mkuu issue sio kuogopa kupata mtoto, issue ni je yaweza kuwa yangu?
nahihitaji wataalam wanisaidie
mkuu waweza kunisogezea uzi huo nimaupitia?mkuu jiandae kulea tu!
jaribu kupitia kuna uzi humu unaelezea mada za watoto uongeze elimu
naona hata nilichoandika hukielewi.lea tu mkuu lol
wewe unajuaje huyo mtu unayemwita baba,ni mzazi halisi?
sijapanga kukuudhi lakini....
mkuu yani hata sielewi aiseeAisee! umeteleza?
naona hata nilichoandika hukielewi.
by the way mimi nahitaji watalaam waje na udadavuzi jadidi naona wewe hauwez
Mkuu hivi inawezekana mtu kunasa one day before period?, maana siku hiyo aliniambia ana dalili zote za kuingia periodHapo ni 50-50 Mkuu...uwezekano ni yako au si yako...kuna wakati mizunguko ya kinadada hubadilika..e.g. Kama aliugua ,stress au akitumia contraceptives..kama anauakika ni yako basi lea tu..after 9 months you will find out
Umenigusa mkuu, kwenye shida kama ya kwangu.Wakuu habar ya majukumu.
Leo nimejitokeza katika jukwaa hili ili mnipe reasons za kitalaama na hata wenye uzoefu juu ya mkasa huu.
Girlfriend wangu nilikua nae tarehe 12 na tuli sex but kabla ya ku sex aliniambia kwamba tarehe zake za kuingia period zinakaribia maana yeye huingia kati ya tarehe 11 mpaka 13 na aliniambia anasikia dalili za kuingia period any time...
Lakini baada ya ku sex siku hiyo ilipita bila kuingia period na siku zikazidi kusonga bila kuingia. Ilipofika tarehe 18 yaani siku sita baada ku sex yeye aliamua kwenda hospital kupima na baada ya hapo akaniambia kwamba amepima na amekutwa n mjamzito.
Wakuu issue hii imenichanganya na hatua ya kwanza nimekataa ujauzito huo, japo kuwa sijaenda kupima kuhakikisha kama kweli ni mjamzito lakn naona kabisa kwamba kwa tarehe zile haikua rahisi yeye kunasa mimba. Wataalam na watu wenye uzoefu na issues hizo karibuni kwa ushauri
Ahsante sana mkuu kwa maelezo yako murua nimekuelewaKwa maelezo hayo hiyo mimba sio yako me nina uhakika kwa sababu zifuatazo
Mosi kipimo cha mimba kwa kutumia hcg hormone kina prove positive siku ya 9_ 10 na wewe mumesex ni siku 6 zimepita kisingeshow +results
Pili yai hua linakufa siku ya 17 ya mzunguko ko linaanza safari yake kuja kutoka mpk siku atakayo bleed ko hata sperm ikikutana nayo haita fertilize kwa sababu yai limekufa
Being honest hiyo mimba sio yako kwa asilimia 90 asilimia 10 naziacha kwa sababu kuna sababu nyingine kama contraceptive stress zinaweza kubadilisha mzunguko na kumfanya awe fertile siku hiyo......... Lastly kuna dna results ko wait mtoto azaliwe utaujua ukweli
mkuu wewe liliishaje? au na wew ni kama mimi bado?Umenigusa mkuu, kwenye shida kama ya kwangu.
mkuu ndiyo maana nimekuja kuuliza humu maana nishapatwa na wasi wasiHuyo kibaka uwe nae makini,utauziwa mbuzi kwenye gunia.