Wasalaam,
Kumekuwa na taarifa inayosambaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii juu ya kupanda kwa nauli za daladala na zile za usafiri wa mabasi kwenda Mikoani.
Imekuwa sio jambo la kawaida kwa nauli kupaa kiasi hicho ndani ya kipandi cha Mwaka mmoja kuanzia January hadi December.
Shida iko wapi ikiwa kipato cha mwananchi wa kawaida hakijaongezeka kwa kasi ya kiwango hicho lakini gharama za usafiri zimepaa kwa zaidi ya mara mbili ndani ya kipindi cha mwaka mmoja.
Nawasilisha.