Omba IMEI namba kwenye mtandao wa simu wowote utapewa kama ni tigo au voda kule kwenye dashboard yao inaonekana Nina experience na hili jambo.Habari za muda huu watu wa Tech!
Moja kwa moja kwenye mada natumia simu aina ya Note8 ya line mbili kwa muda wa miaka miwili sasa ila leo jion nilibadilisha line two kutoa voda na kuweka airtel ikawa inaandika emergency services nilipojaribu kuangalia imei nikakuta moja imefutika zimebaki 00000000000 ila line one IPO sawa hii imekaaje na nini ufumbuzi wa tatizo??
Unaombaje maana pia huwa inatokea ukiflash simu za rootedOmba IMEI namba kwenye mtandao wa simu wowote utapewa kama ni tigo au voda kule kwenye dashboard yao inaonekana Nina experience na hili jambo.
Laini uliyoweka kwenye simu hiyo mfano ni Tigo,unaenda tigo shop unajieleza vizuri wao watakuomba hiyo namba ya simu iliyokuwa ina kaa ndani ya hiyo simu wao wakifutalia tu wanaona.Unaombaje maana pia huwa inatokea ukiflash simu za rooted
Mkuu kwamba ukiomba wao wanaweza kui insert moja kwa moja au vipi??Laini uliyoweka kwenye simu hiyo mfano ni Tigo,unaenda tigo shop unajieleza vizuri wao watakuomba hiyo namba ya simu iliyokuwa ina kaa ndani ya hiyo simu wao wakifutalia tu wanaona.
Nasema hivi kwa sababu nilikuwa kwenye Telecom company kwa miaka kadhaa huwa ni kitu kirahisi tu.
Tena kwenye dashboard yao Kule mpaka aina ya simu uliyonayo inaonyesha.
Hiyo ya Ku insert sijawahi kukutana nayo lakini kama ni shida ya IMEI uzione tu huko kwele Telecom company wanakupa.Mkuu kwamba ukiomba wao wanaweza kui insert moja kwa moja au vipi??
Daaah hii ni case mpya kwangu ...anyway wataalam msaidie huyu mwamba nini cha kufanya.Mimi tatizo ni errors yani imefutika hivyo line haiwezi kusoma
Ha ha haHapa unaweza Omba io kazi af ukafungwa ijumaa
Kila lakheri mkuu
Kama upo na box la simu nenda nalo kwa fundi wa software ana andika upya hiyo imei sababu mabix huwa yanakuwa na imei au kwenye hiyo simu huwa zipo kwenye stika au maandishi yaliyo nyuma ya simu chiniDaaah hii ni case mpya kwangu ...anyway wataalam msaidie huyu mwamba nini cha kufanya.
Pole sana mkuu.
Kurejesha IMEI ile ile ni kipengele mkuuKama upo na box la simu nenda nalo kwa fundi wa software ana andika upya hiyo imei sababu mabix huwa yanakuwa na imei au kwenye hiyo simu huwa zipo kwenye stika au maandishi yaliyo nyuma ya simu chini
Kumbuka kurudisha imei ile ile iliyo corupt kwenye simu husika sio kosa kisheria ila kosa ni kubadilisha imei ya simu A kuiweka kwenye simu B
Nimeenda na box na imei pia nilikuwa nayo niliwahi kuscreen shoot nikasave mahali ila wameniambia ni kipengele sana kuirudisha naona mafundi wanaziogopa sana note series jamaa ananiambia nimpe laki ajaribu nikaona haina haja.Kama upo na box la simu nenda nalo kwa fundi wa software ana andika upya hiyo imei sababu mabix huwa yanakuwa na imei au kwenye hiyo simu huwa zipo kwenye stika au maandishi yaliyo nyuma ya simu chini
Kumbuka kurudisha imei ile ile iliyo corupt kwenye simu husika sio kosa kisheria ila kosa ni kubadilisha imei ya simu A kuiweka kwenye simu B