Imehairishwa Valentine Day!!

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,952
Reaction score
9,469
Kwa hali hii ya watu kutokuwa waaminifu katika mahusiano, siku ya Valentine ndo siku yakujua mpenzi wako kakuweka katika nafasi gani ya mapenzi!

Naona watu hii siku inasumbua akili za watu wanatamni isiwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…