Pole mamii, ndo uanamke huo, ukijifungua tu baada ya miezi 3 hadi 6 utarudi katka hali yako ya kawaida, na ukishajufungua usikimbilie SH Amon kutafuta vipodizi utaliwa hela hadi utashangaa, chunusi zitaisha zenyewe taratibu, chamsingi uendelee kutumia vipozi vyako unavyotumia kila siku.
Kuhusu Body structure sijui utafanyaje manake uzazi unaweza kukupenda ndo ukanenepa zaidi na ndo kama mamamkwe ni mchaga ndo utalishwa hadi uwe kama pipa