Imebaki SEXY Legs tu! mweeeeee....

It is not SEX that gives Pleasure, it is the LOVER!
SEX relieves tension, LOVE causes it, Marriage multiplies it!


:hand::hand::hand:....Shimo La Panya Halifunikwi Kwa Mkate.....:israel::israel::israel:

come this way babu...... mwaaaaah!
 
jinsi huo mguu wa kushoto ulivyouweka kwa mashamsham ni kama nyanda za kaskazini mashariki kuna kidume kinaendeleza libeneke vile...


hapo hata kidume hawezi ingia, sina hamu kabisa. sijimini amini kuwa niko ktk mwili wangu!
 
Kwa uzuri wa hiyo miguu ulitegemea nini zaidi ya kupigwa mimba?
 
Kula zabibu utoe majibu.
Ndo mamako ulivyomuharibu shape the same way. Its high time uwe karibu nae kama yupo, umuambie unampenda na kumthamini.


mweeee. umenichoma kumoyo. huwa naumuona mshamba fulani hivi

saizi hata sielewi nitamtazama vipi. sasa najua kwann wanasema nani kama mama! :A S cry:
 
umekuwa mimbalized!!, pole eeeh mtoto mzuri ila ungeweka na photo ya juu juu hivi ingekuwa poa
 
hahahahaaa ndetichia ndetichia, eti pronto pizza, humpati tena
 
umekuwa mimbalized!!, pole eeeh mtoto mzuri ila ungeweka na photo ya juu juu hivi ingekuwa poa


nawewe unataka kama Boflo? kwani picha ya juu itafanya nn?
 
Erotica naomba unielekeze njia nije kukuliwaza hata ukiwa masasi ntakuja.... maneno yako yamenigusa sana..
 
:hand::hand::hand:....Shimo La Panya Halifunikwi Kwa Mkate.....:israel::israel::israel:

come this way babu...... mwaaaaah!
Knock! Knock!........ Guess who is there!

Mmmmwaaaaah!!
 
heee? ndio raha yake? you are kiddig right?
Mimi tangu ning'atwe chakula cha mtoto na kuendeshwa mbio kama bodaboda, mtu hawezi kunidanganya kwamba ni raha hata kidogo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…