aah! Nikimalizia nitaharibu uhondo. Features mbili zinatosha.... Haya ngoja niendelee,
nahisi una mashavu manene na macho ya duara. Pia nahisi unapenda kula kula lakini hizi bites bites sema unene wako sijui wa asili. Ha ha ha! Lol.
ha ha ha!
Nakwambia hizi imagination siku tukionana lazima tutoke nduki. Lol!
Mimi mbona hujaniambia?
Ahaa ahaa bado kidogohe he! Itabidi azimio la arusha lirudiwe tuonane tena.
Tf nimekupatia lakini eeh?
Husninyo.
Kimo Futi 5'2'
Maji ya kunde
Hupendi kupiga Tizi
Si mpigaji mzuri wa ulabu.
Mwili wa Wastani.
Huonekana Mvivu wa kuongea lakini ukipewa Microphone unaweza toa hata siri yako.
Hupendi kutaniwa na vibwana mdogo lakini wewe ni mtoa vijembe mzuri.
Hadharani mtu wa staha.
Mafichoni unapenda sana mademu lakini unamwogopa mshikaji wako umpendaye sana.
Bado unapenda kujua siri ya mambo kibao, unafanya bidii kujifunza
Hivi unajua Kimey anafananaje l.olhahaha!dah!sitii neno,,lol! husn ana mwili wa wastani,height ya wastani,maji ya kunde.
Hivi unajua Kimey anafananaje l.ol
Hehehe!Hus mchokozi wewe!Napata picha we una umbo wastani...sio mrefu sana alafu mweupe!aah! Nikimalizia nitaharibu uhondo. Features mbili zinatosha.... Haya ngoja niendelee,
nahisi una mashavu manene na macho ya duara. Pia nahisi unapenda kula kula lakini hizi bites bites sema unene wako sijui wa asili. Ha ha ha! Lol.
Hivi unajua Kimey anafananaje l.ol
Hehehe!Hus mchokozi wewe!Napata picha we una umbo wastani...sio mrefu sana alafu mweupe!
Tunampeleka GYMlolz!uko kanisani ama ovyo ovyo?najaribu kumfanyia imagination ikija kuwa ana kitambi mi na yy basi
Jambo,ulipata ujumbe wangu?Jambo!! Napita tu
Nakusubiria nje hapa tuonane l.o.lha ha, kwa WiseL nimegonga ikulu maana hadi amesema hatii neno...
Natumai ipo siku nitaonana jf members including lizzy.
Halafu wewe jana.....bora simo kwenye mchuano
ha ha, kwa WiseL nimegonga ikulu maana hadi amesema hatii neno...
Natumai ipo siku nitaonana jf members including lizzy.
Nakusubiria nje hapa tuonane l.o.l
Halafu wewe jana.....
Jambo,ulipata ujumbe wangu?
Leo nitakupa suprise usishangae lakiniHa ha ha ha
Kaka samahani sana
Infact it was a time out of my reach