mKJJ-.... . ..mWEMBABA sana na mreeefu(dizaini ya kupulizwa na upepo).hana hobby na familia!Jf ina memba wengi lakini wapo baadhi ambao kutokana na nature ya michango yao wametokea kuwa masupastaa. Fikiria watu kama M.Mkjj, Asprin, Finest, Maria Roza na wengine. Hivi kwenye maind yako ulishawah kuimajin hawa supastaa wakoje? Kwa mfano mi ninavyomuimajin Lizzy: kuwa ni mdada mrefu hivi, ana kaufiga, mweupe, anavaa miwani myeus na anapenda kuvaa suruali za kubana. Alaf namuimajin Rose1980 kama mdada flan hv mwongeaji sana na mbish, alaf atakuwa mrembo fulan mwenye figa ya ki-modo. Yani kuna wakati nikikatiza town namuona mtu alaf maind yangu inajiconvince namuona FirstLady1. Hata ivo I wish nisiwaone hawa watu isije wakawa tofauti sana na ninavyowaimajin... lol.
mKJJ-.... . ..mWEMBABA sana na mreeefu(dizaini ya kupulizwa na upepo).hana hobby na familia!
Asprin... .....Mfupi kama Gen. Shim^bo, na ana mwanya, sigara mdomoni 24hrs!
The Finest.. .Kitambi kama nyumba, , na anafuga minywele mingi,...hachomekei mashati.
Wanawake huwa siwezi kuwakadiria kabsaa!....sababu ni kwamba wana uwezo wa kujibadilisha maumbo!.....huh!
50% correct!...Angalia Avetari yangu, ni picha yangu halisi!PJ mtu fulani wa kati ya 30 na 40, yuko faster urefu wa kati ana mwili wastani lakini hana kitambi
mKJJ-.... . ..mWEMBABA sana na mreeefu(dizaini ya kupulizwa na upepo).hana hobby na familia!
Asprin... .....Mfupi kama Gen. Shim^bo, na ana mwanya, sigara mdomoni 24hrs!
The Finest.. .Kitambi kama nyumba, , na anafuga minywele mingi,...hachomekei mashati.
Wanawake huwa siwezi kuwakadiria kabsaa!....sababu ni kwamba wana uwezo wa kujibadilisha maumbo!.....huh!
Ahaa ahaa ahaa PJ sikuwezi haya banamKJJ-.... . ..mWEMBABA sana na mreeefu(dizaini ya kupulizwa na upepo).hana hobby na familia!
Asprin... .....Mfupi kama Gen. Shim^bo, na ana mwanya, sigara mdomoni 24hrs!
The Finest.. .Kitambi kama nyumba, , na anafuga minywele mingi,...hachomekei mashati.
Wanawake huwa siwezi kuwakadiria kabsaa!....sababu ni kwamba wana uwezo wa kujibadilisha maumbo!.....huh!
Halafu Keren...PJ...umeniacha hoi....:laugh::laugh::laugh:
Halafu Keren...
Halafu Keren...
iyo avater ni picha yako nini?Ahaa ahaa ahaa PJ sikuwezi haya bana
WL..wala usiwe na hofu amepita tu kusalimia......
Mkadilieni Invisible alivyo :wink2:
Yap that's me.iyo avater ni picha yako nini?