iMAC G5 FOR SALE!!!!!!!!TWO REMAINING 2 PCS | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

iMAC G5 FOR SALE!!!!!!!!TWO REMAINING 2 PCS

Discussion in 'Matangazo madogo' started by raia tz, Dec 15, 2011.

 1. raia tz

  raia tz Member

  #1
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  WAKUU HABARI,KUNA BIASHRA YA iMac G5 KWA THS 1,000,000/=
  HII NI DESCTOP YA MAC AMBAYO MONITOR YAKE IMEUNGNISWA NA CPU,KITU AMBACHO KIPO PEMBENI TUNACHOTOA NI KEYBOARD NA MOUSE .IPO FULLY INSALLED.TUNA 2PCS

  1.DISPLAY:17 Inch
  2.RAM:2.5GB
  3.PROCESSOR:1.9Ghz.Duo Power G5
  4.HARD DISC: 250GB
  5.WEBACAM.
  6.BLUTOOTH.
  7.WIRELESS NA
  8.COLOUR:WHITE PRICE 1,000,000/=
  iMAC G5.jpg
  YA PILI INA SPECS KAMAHIZO HAPO JUU ISIPOKUWA
  1.DISPLAY:20Inch.
  2.NO WEB CAM. PRICE 1,000,000/=
  KARIBUNI TUFANYE BIASHARA,YAFAA KWA OFISI NA MATUMIZI BINAFSI CALL 0654000253 AU NI PM
   
 2. Bado Niponipo

  Bado Niponipo JF-Expert Member

  #2
  Dec 15, 2011
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 680
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hizi Mac ni mpya au used?
   
 3. Sr. Magdalena

  Sr. Magdalena JF-Expert Member

  #3
  Dec 15, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 770
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Kaka kama ni used chukua 1.2 kwa zote mbili, hizi apple utengenezajiwake na vifaa ni gharama sana na once ikikorofisha inabidi uipeleke dubai au nairobi kwa matengenezo.
   
 4. raia tz

  raia tz Member

  #4
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mkuu used kidogo sana,zipo bomba waweza kuja ziona.
   
 5. raia tz

  raia tz Member

  #5
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mkuu ni pesa nyingi ila haina mslahi kaka,thanks for support
   
Loading...