Im back.......................

Yap wifi, kumbe na wewe umemshtukia eeh?

Hujambo wifi kipenzi.
wifi kipenzi mimi mzima kabisa.....
kakako TANMO hajambo jamani? nimem-miss sana, nifikishie salamu zangu wiiii
 
Last edited by a moderator:
huyu ndugu stats zinaonyesha kajiunga jana, leo tayari anasema I am back......na kutuhakikishia alitumiss sana..... au kajivua gamba? kuwa muwazi Tonykp tukusaidie
Mwambie Invisible aile ban faster au ajitambulishe na id ya zamani.
 
Last edited by a moderator:
Ofcoz...I ve been missing u....so how are you? ??
 
Au labda ni kapolondo nn??
 
Aaaahhh!!! Mie huyu machale ya kwapa yamenicheza. Miss u 2 erick, pole kwa kuumwa dia. Nakuombea upone haraka. Amyner anatosha kukuuguza? Lol
Asante
Amyner yuko anakomaa na kazi kidogo ila atarudi soon.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…