im almost back????????????

Hun achana na mtoto huyo haielew siri ya penzi
 
Mwite
hivi nadhani kilichonifanya nifunge mabreki yote kwa huyu binti hamjakijua mjue!
My hun morning umeamua leo kuniacha kwa bed aaaahmesahau kumbe ndo kile kikao ulichonambia jaaana usiku eeeh?
 
Haswaa, kumbe unakumbuka! Afu mwambie BT, asubuhi asubuhi hivi keshaanza hodi kwenye nyumba za wenyewe hata hawajaamka hodi!

Mjin hapa mylove sahiz anajua chai tayari sasa na mim ndo sinyanyuki hapa kwa bed hata walishaambiwa wasije mjin lakin wabish sa ndo hayo yanayomkuta
 
My hun morning umeamua leo kuniacha kwa bed aaaahmesahau kumbe ndo kile kikao ulichonambia jaaana usiku eeeh?

Haswaa, kumbe unakumbuka! Afu mwambie BT, asubuhi asubuhi hivi keshaanza hodi kwenye nyumba za wenyewe hata hawajaamka hodi! Huyu anatakiwa wamrudishe mkoleni.
 
Haswaa, kumbe unakumbuka! Afu mwambie BT, asubuhi asubuhi hivi keshaanza hodi kwenye nyumba za wenyewe hata hawajaamka hodi! Huyu anatakiwa wamrudishe mkoleni.

Madame b na charming lady ntawapa hii kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…